Hivi Tanzania ina Sheria kuhusu Uvutaji wa Sigara?

Winga dalali

Senior Member
Jul 20, 2021
192
263
Habari zenu wakuu,
Naomba kuuliza hivi kuna sheria yoyote Tanzania kuhusiana na uvutaji wa sigara (fegi,Chiga,mufe,filter)

1. umri sahihi wa kutumia au inaruhusiwa hata kwa mtoto wa miaka 10.

2. Maeneo husika ya kuvutia sigara,au ni ruksa popote pale .unachoma uliponunua?

3. Ni,kosa kwa afisa wa au mtumishi wa serikali kutumia sigara? Hasa hadaharani?

Naomba kujua tafadhali
 
Ni mara chache sana nakutana na mtu anavuta sigara njiani naona wavutaji wamepungua
 
Ni mara chache sana nakutana na mtu anavuta sigara njiani naona wavutaji wamepungua
Hawajapungua, ila wavutaji wame upgrade wako smart kuliko last era,wavutaji wengi nowadays ni wasomi both me and ke ,according to their personality and status,huwezi kuta wana smoke hadharani
 
Back
Top Bottom