sigara

Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Mbunge ataka kusitishwa kuhamasisha matumizi ya pombe na sigara

    Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara). Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel kwa kusema kweli mchakato umeanza lakini utaona kwenye sigara na kwenye mambo mengine kweli...
  2. Mkongwe03

    Ni wapi naweza nikapata sigara.?

    Habari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
  3. Pule

    Uvutaji wa sigara unakera wengine

    Habari za wakati huu!!..Kuna hili suala la uvutaji wa sigara Kila mahali,wavutaji hawajali wengine ambapo hawavuti,hawazingatii eneo wenyewe watakapo jisikia kuvuta eneo lolote wanavuta si barabarani,eneo lenyewe mkusanyiko wa watu hawajali Hilo. Hili suala linakera sisi wengine ambapo sio...
  4. G

    Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

    Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje. Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na huwezi amini hakuna mtu wa karibu anaejua ninavuta wala kunishuhudia naivuta, huwa naenda kuvutia...
  5. Manyanza

    Tafiti: Vipande vya sigara ambazo zimetumika, ndio uchafu namba moja duniani unaoongoza kwa kufanywa na binadamu makusudi!

    1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo. 2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya kutupa vipande vya sigara ovyo. Ukosefu wa uhamasishaji juu ya athari za mazingira unachangia tatizo...
  6. ndege JOHN

    Cheki nilivyo mbunifu nikifungua grocery sigara moja bure naweka na daftari la ku sign

    Unajua watu ukiwaambia jinsi ulivyo na akili wanakudharau rafiki sasa sikia hii mimi ipo siku naanza biashara ya pombe na mpango wangu ukija unanunua pombe me offer yangu ni sigara moja si najua pombe ina faida ya Tsh. 300 so nakupa sigara moja ya 100 mimi potelea mbali acha nipate 200 halafu...
  7. ndege JOHN

    Wanafunzi mpaka wa primary wanavuta sigara za kielektroniki serikali na wazazi mko wapi?

    Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo itakuwa Balaa. Sigara hizi lengo Ilikuwa kuwapunguzia wavutaji wa tumbaku ile addiction ila...
  8. M

    Tunaisaka nafasi ya pili kwa udi na uvumba na tukishaipata TFF ,mtutaeleza kwanini Yanga imefungiwa na FIFA kusajili vinginevyo itakuwa kama Sigara

    Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa...
  9. Mwangajamii Tanzania

    Serikali iweke sheria kali kwa wenye tabia ya kuvuta sigara hadharani ili tuepukane na maradhi sababishi kutoka kwa wavutaji sigara hadharani

    Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake. Hii...
  10. Chachu Ombara

    Serikali kuja na sheria ya katazo la kuvuta sigara hadharani

    Naibu Waziri wa Afya akiwa bungeni amesema kuwa tayari Bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa sigara hadharani. Ameongeza kuwa sheria hiyo imezuia matangazo ya tumbaku na bidhaa...
  11. Mwangajamiitz

    Uvutaji wa Sigara kwenye kadamnasi ya watu

    Tabia inayofanywa na wavuta Sigara. Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo. Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa...
  12. JamiiCheck

    KWELI Uvutaji wa Sigara huchangia ugumba kwa wanaume

    Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na zilizoendelea. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), takriban watu Bilioni 1.3 duniani wanavuta...
  13. W

    Hakuna Pombe, Sigara wala kukatika katika klabu mpya ya Kikristo. Je unaweza Kwenda?

    Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la kuabudu na kucheza pamoja. Miongoni mwa sheria za klabu hii ni marufuku kuvuta sigara, hakuna...
  14. Papaa Mobimba

    SI KWELI Uvutaji sigara husaidia kuondokana na msongo wa mawazo

    Mara nyingi nikiwa na stress na kupelekea kukosa usingizi, huwa navuta sigara ili kupunguza stress hizo. Hata iwe usiku wa manane nitajitahidi niende kwenye Club zinazokesha nikafuate sigara. Suala la kuwa inanisaidia au lah, sidhani lakini pale napokuwa navuta huwa nakuwa katika hisia nyingine...
  15. Ghost MVP

    Uvutaji wa Sigara husaidia kulainisha choo kwa wenye tatizo la kupata choo kigumu

    Hii bhana huwa inasaidia sana baada ya kula au kushiba sanaa ukitumia sigara basi muda huo huo utaanza kuhitaji kutumia maliato kwa haraka sanaa. Nani mwingine amegundua hili
  16. Suley2019

    SI KWELI Kula matango baada ya kuvuta sigara kunasaidia kupunguza athari zake

    Salaam ndugu zangu, Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara. Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona. Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
  17. Intelligent businessman

    Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  18. 00m

    Sheria ya kuzuia uvutaji wa sigara iliishia wapi?

    UVUTAJI SIGARA. Ivi ile sheria ya kuzuia uvutaji sigara iliishia wapi. Maana Leo Stend nzima kahama ilikuwa inanuka sigara. Imefikia mahali watu wanavuta hadharani ata kwenye sehemu watu wanakusanyika.
  19. Nanamucho

    Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

    Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee! Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
  20. BARD AI

    Snoop Dogg anapanga kuacha kuvuta sigara?

    Rapa na Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop, Snoop Dogg ametangaza kuacha Uvujati Sigara baada ya kukaa na kushauriana na Familia yake. --- Rapper na nyota wa hip hop Snoop Dogg ametangaza kuacha kutumia bangi. Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus, alifanya tangazo...
Back
Top Bottom