Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,737
11,096
Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao.

Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma vipi Pombe na sigara? Mnawaharibu watoto wenu wenyewe mtoto anatumwa pombe akifika mahari anatizama huku na huku anafungua kichupa anaonja, nyinyi wazazi mliokuwa mkiitwa wanyonge acheni tabia hii.

Mhh
 
Back
Top Bottom