Sigara is a genus of water boatmen in the family Corixidae. Some species within this genus are halophiles; for example, occurrences of the genus have been noted in the hypersaline Makgadikgadi Pans in Botswana.
Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado anatumia mbinu za kitambo sana kupigana, anaacha meli muhimu inakua yenyewe huko baharini, siku hizi meli...
HATUA ZA KUACHA KUVUTA SIGARA
Madhara ya kiafya yatokanayo na uvutaji sigara ni makubwa na yanahatarisha si tu uhai wa mvutaji bali hata na watu wengine wanaovuta moshi kutoka kwa mvutaji. Kwa upande mwingine, hakuna faida yoyote anayopata mvutaji, hivyo wavutaji wa sigara wanashauriwa waache...
Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu
pakiti ya sigara = sigara 20
bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200
box moja...
hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi.
Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
Karibu sana mpenzi msomaji na mdau wa JamiiForums katika Somo la leo ambako tunakwenda kujifunza kuhusiana na ulinzi wa mtoto (Child Protection) hasa katika mazingira hatarishi kwa ustawi bora wa mtoto.
Leo tunaangazia zaidi kifungu cha 17(1, 2, & 3) cha Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sura ya 13...
Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga.
BAADHI YA SIGARA
BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA
BEI YA PAKTI MOJA
BEI YA SIGARA MOJA
Winston & Master Club
Tsh1600/=
Tsh 100/=
Sports Club & Sm Club
Tsh...
Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando.
Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
Habari wakuu,
Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla.
Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!
Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji.
Lakini...
Sigara hiyo ya hatari ambayo imefanya Urusi wanajeshi wake kuondoka Kherson
Na imelipotiwa ndio iliochoma ndege za kivita na kushambulia Depot ya uhifadhi Siraha zao huko Crimea
Vitisho vya Sigara hiyo vimepelekea vikosi vya Urusi kuweka kambi maeneo hatarishi kama kwenye vinu vya nyuklia...
Vichungi vya sigara (vitako) ni kati ya vitu vyenye uchafuzi na sumu vinavyopatikana katika vyanzo vya maji, pia inachukua hadi miaka mitano kuoza vikitupwa ardhini, hiyo kuruhusu nikotini na kemikali kuingia kwenye mifumo ya ikolojia inayozunguka ambayo inaathiri maisha ya binadamu.
Utafiti wa...
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu .
Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema ni kosa kisheria kuvuta sigara hadharani au kwenye maeneo ya mikusanyiko na atakayebainika kufanya hivyo atatozwa faini ya Tsh. 200,000 au kutumikia adhabu ya kifungo cha miezi sita jela.
Meneja wa Kanda ya Mashariki wa TMDA, Gloria Matemu aliyasema...
Habari wana jamvi,
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
Ahlan wa sahlan.
Leo naomba niongelee experience yangu fupi katika betting (Kamari).
Binafsi, mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanaipinga sana michezo ya Kamari, maarufu kama betting. Ila kutokana na upweke (boredom) pamoja na udadisi (curiosity) wa kutaka kujua nini kipo nyuma ya michezo hii...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito.
Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
Ikiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake?
Kama tumepiga marufuku...
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?
Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.
Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza...
Wakuu, naona kama hii kitu inaongezeka kwa kasi, kuna Wadada siku hizi wanapiga fegi (sigara) bila uoga kabisa.
Hatari ya Wanawake kuvuta sigara ni kubwa kuliko wanaume.
Kuna sehemu nimekaa hapa kuna mabinti wanne, wawili wabongo na wengine wazungu wapiga fegi unstoppable.
Na kila mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.