sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania EU yammwagia sifa Rais Samia

    === EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19 EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda vizuri nchi Tanzania, EU imeahidi kuendelea kuifuatilia kwa karibu Tanzania na kuendelea kuisaidia...
  2. JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wanene au wafupi

    Hawa wana sifa za kipekee zinazowavutia wanaume wengi, nazo ni:- Wavumilivu katika mahusiano Wana wivu sana kwa waume zao Wanapenda sana tendo la ndoa Wana hisia kali; ukiwa nao kwenye zoezi wanajua kung'ang'ania Hawavutiwi na pesa kwenye mahusiano Wanavutiwa sana na shoo za kibabe Kwako...
  3. JamiiForums Tanzania Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

    POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu kukusikiliza, basi kosa sifa nitakayoieleza hivi leo. Ni sifa moja kubwa Sana ambayo hiyo ndio humpa mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake

    Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake Wanaume wanaonyoa vipara na kumaliza nywele kichwani huwa wana sifa ya kutokuhonga, na wanapenda sana mambo ya chini, mwanamke akimpatia nafasi hatojutia kwa shoo atakayoipata, ila hatapewa pesa. Wanaume wanaonyoa panki huwa na sifa za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middle umepewa Shilingi ngapi kwa Sifa ulizompa leo Waziri wa Maji Aweso?

    Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
  6. JamiiForums Tanzania Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo dhaifu au mfumo ndiyo mbovu wa kumpata Spika wa Bunge?

    Tangu 2016 hadi 2021 nimesikia Spika analaumiwa na yeye akiwa ndani ya Bunge analalamika hata akialikwa kwenye tukio kama mgeni Rasmi analalamika hadi anaongea nje ya mada ya tukio husika. Vigezo vya kuwa Spika ni dhaifu au mfumo mbovu wakumpata Spika?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wanahabari na wanasiasa kutoka makundi ya vyama acheni kupinga zoezi la machinga, mnatafuta sifa za kijinga

    Kero ya machinga huko barabarani hapati rais peke yake, kero ya machinga hapati waziri mkuu peke yake, kero ya machinga hapati RC, DC au mkurugenzi peke yake! Kero hii ya machinga wanaipata wanainchi wengi wastaarabu wanaozingatia kanuni na sheria za inchi. Kero ya machinga tunaipata sisi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, pamoja na sifa unazomwangia Jumaa Aweso, huyu siyo mwaminifu

    Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii. Ifikie hatua miradi yote inayotangazwa, kama haifanyi inavyotakiwa, wahusika wote wafukuzwe kazi. Aweso...
  10. JamiiForums Tanzania CCM msiongeze chumvi kwenye sifa za Rais Samia

    Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka. Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi haina tatizo hata moja. Tumpongeze anapofanya vizuri, tumkumbushe ambapo hapajakamilika, tupinge...
  11. JamiiForums Tanzania Mimea sita yenye sifa za kushangaza zaidi duniani

    Mimea sita yenye sifa za kushangaza zaidi duniani 21 Machi 2018 Imeboreshwa 20 Disemba 2020 Chanzo cha picha, AFP/Getty Maelezo ya picha: Mmea huu hutoa harufu ya mzoga Duniani huwa kuna mimea ya aina nyingi, lakini kunayo baadhi ambayo inashangaza kwa sifa zake za kipekee. Hapa, tutaangazia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chama cha Mapinduzi chaguzi zake za ndani sifa kuu ya mgombea ni fedha?

    Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee ni yakweli au ulikuwa unafiki wa kisiasa. Kama alikuwa muasisi wa Tanu na CCM na alikemea rushwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa Manula kupewa sifa zake

    Ni miongoni mwa magolikipa bora kuwahi kutokea Simba na Tanzania! Ikumbukwe toka zama na zama, Simba imekuwa ikipata magolikipa hodari sana, tangu enzi za akina Athumani Mambosasa, Hamisi Kinye, Mwameja, Steven Nemes, Juma Kaseja, na sasa ni zama za Aishi Manula! Achana na rekodi zake lukuki...
  14. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sifa ya Division 4 na 0 kujiunga na Jeshi: Je, ni mkakati wa kuwabeba ndugu/watoto wa vigogo waliofeli?

    Naiweka kama "Hypothesis" kuwa: Akina Simbachawene and Co. Ltd, (VIGOGO) wana ngudu zao kibao ni failure wa form 4 na 6 ambao Ni Div ZERO NA 4. Sasa kuwapa ajira, sifa ni div 0 na 4. Sifa hizo zitawakumba ndugu zake, watoto wa marafiki na marafiki wao wote.
  16. JamiiForums Tanzania Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  17. JamiiForums Tanzania Tuna watu wasio na sifa ya kuongoza

    Tuna viongozi wasio na sifa ya kuongoza WEDNESDAY SEPTEMBER 29 2021 Summary Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni katika siasa au serikalini, njaa yetu ya kupata viongozi bora ni kubwa sana By Mwandishi Wetu More by this Author Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

    Habari. Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani. Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana. Aweze kuishi kirafiki kabisa, Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu. Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na...
  19. JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Unyonge ni ujinga sio sifa

    Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa! Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa...
  20. JamiiForums Tanzania DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…