Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middle umepewa Shilingi ngapi kwa Sifa ulizompa leo Waziri wa Maji Aweso?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick?

Farhia Middle una uhakika kuwa huyu Waziri wako wa Maji Awesso tokea awepo hapo ameweza hata tu Kutatua 30% ya Changamoto za upatikanaji wa Maji Tanzania nzima achilia mbali tu Dar es Salaam na hapo Kwako Sinza?

Sitaki nikukandie (nikusilibe) kwani Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu (kama alivyo pia Mtangazaji mwenzako Aboubakary Sadick) halafu nakukubali mno kwa Utendaji wako, ila acha tabia ya kukurupuka kujipendekeza Kuwapongeza Watu ambao KEROZENE sioni kama kweli wanastahili Sifa na tunajua wengine hawatumbuliwi katika Nafasi zao kwa Utendaji mbovu kwakuwa hata huko Vijijini Kwao Bibi na Babu zao wanaogopeka sana kwa Ndumba (Ulozi)

Kitendo ulichokifanya leo cha Kumsifia Waziri wa Maji Awesso kuwa anafanya mno Kazi hakina tofauti na Kumsifia Golikipa Manula (wa Simba SC yetu) kuwa anaokoa zaidi Michomo wakati kumbe Kiuhalisia ndiyo Jukumu lake na analipwa kwa Kuwajibika hivyo.
 
Na last week alikuwa nae baada ya Dada huyu kwenda kukita Kambi Wilayani Mwanga ili aweze kufanya Interview na former Premier Mzee David Cleopa Msuya ( kule Kwake Usangi ) ambayo itarushwa leo na ITV pamoja na Radio One katika Kipindi chake cha dakika 45.
Kila wiki lazima atimbe Mwanga!
 
Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick?

Farhia Middle una uhakika kuwa huyu Waziri wako wa Maji Awesso tokea awepo hapo ameweza hata tu Kutatua 30% ya Changamoto za upatikanaji wa Maji Tanzania nzima achilia mbali tu Dar es Salaam na hapo Kwako Sinza?

Sitaki nikukandie ( nikusilibe ) kwani Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu ( kama alivyo pia Mtangazaji mwenzako Aboubakary Sadick ) halafu nakukubali mno kwa Utendaji wako, ila acha tabia ya Kukurupuka Kujipendekeza Kuwapongeza Watu ambao KEROZENE sioni kama kweli wanastahili Sifa na tunajua wengine hawatumbuliwi katika Nafasi zao kwa Utendaji mbovu kwakuwa hata huko Vijijini Kwao Bibi na Babu zao wanaogopeka sana kwa Ndumba ( Ulozi )

Kitendo ulichokifanya leo cha Kumsifia Waziri wa Maji Awesso kuwa anafanya mno Kazi hakina tofauti na Kumsifia Golikipa Manula ( wa Simba SC yetu ) kuwa anaokoa zaidi Michomo wakati kumbe Kiuhalisia ndiyo Jukumu lake na analipwa kwa Kuwajibika hivyo.
Upuuzi mtupu, kuna ujinga MORUWASA Morogoro ameshindwa kuudhibiti, maji ni ya shida lakini wameruhusu watu binafsi (wafanyabiashara ya maji) kuunga line kwenye feeder line za matank makubwa, kipindi wanaposukuma maji kwenda kwenye matank maji hayafiki kwenye matenki lengwa ila yanakwenda kwa wauzaji maji mwisho wa siku wauza maji wamepata maji wananchi hawana maji

Haya mambo yanafahamika na wahusika ni wafanyakazi wa Moruwasa
 
Back
Top Bottom