EU yammwagia sifa Rais Samia

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083
===
EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19

EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda vizuri nchi Tanzania,

EU imeahidi kuendelea kuifuatilia kwa karibu Tanzania na kuendelea kuisaidia katika nyanja mbalimbali,

Sikiliza mpaka mwisho

 
IMG_20210721_195206.jpg
 
Kwa Statiment ya huyu dada CHADEMA na Lissu EU imegundua janja yenu,

Lissu na wenzeko rudini kwenu
Sasa chawa &Mr/s minamba mnatiririkiamo kwenye umbumbu wa walio wafuasi wakijani sio, JE kwanza mlirejelea takwimu za wawezao, zilizopelekea kuhojiwa uraia kiongozi wao?
 
Mkuu CM 1174858, mbona unahangaika Sana na issue za AU Kama unataka kutaga?
 
EU wanasema kweli kinyume kabisa na propaganda mfu za DAVID Mc ALISTER swahiba wake Tundu Lissu na yule Robert Amsterdam......

David Mc Alister mbunge wa chama Cha CDU kilichoshindwa uchaguzi huko UJERUMANI alipangana na wenzake pale BUNDESTAG kuupinga mradi wa UFUAJI UMEME pale MWALIMU NYERERE kwa kigezo dhaifu cha UHARIBIFU WA MAZINGIRA ilihali UNESCO ilijiridhisha pasi na shaka kuwa Tanzania itatumia tu 3% ya eneo lile......

Mjerumani huyo ana makasiriko makubwa dhidi ya Tanzania na serikali ya CCM........


#Siempre JMT
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi & Weledi Zaidi 💪
 
Back
Top Bottom