Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,189
39,954
Zijue sifa za mwanaume kutokana na muonekano wake
  • Wanaume wanaonyoa vipara na kumaliza nywele kichwani huwa wana sifa ya kutokuhonga, na wanapenda sana mambo ya chini, mwanamke akimpatia nafasi hatojutia kwa shoo atakayoipata, ila hatapewa pesa.
  • Wanaume wanaonyoa panki huwa na sifa za kubembeleza bembeleza na kupenda mapenzi ya maigizo maigizo kama tamthilya, pia huwa wanahonga kwa kiasi, kwenye shoo wako kwa wastani.
  • Wanaume ambao hunyoa kawaida bila kufuata mitindo ya kisasa, wengi wao huwa ni wazembe kwenye mapenzi, na wanahonga sana, ila shoo zao zinakuwa ni za kawaida. Ila ni wepesi wa kuhonga nyumba, magari n.k kama uwezo anao.
Kazi kwenu wadada
 
Vinyozi
Screenshot_20210924-022027.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom