sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mayele Siku zingine uache Sifa unaona sasa Ulivyoumbuka Jana?

    Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka...
  2. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

    Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu. Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense. 3. Mbinafsi/ mchoyo. 4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
  4. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya...
  5. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

    Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi. Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha...
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

    Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sifa za Mutsubishi Pajero Exceed ni zipi?

    Jamani kidogo kidogo nimeanza kuona magari ya Mitsubishi Pajero 3.0L petrol. Hivi haya magari yakoje in term of 1.Ulaji wa mafuta 2.Upatikanaji wa Spare 3.Uhimilivuwa rough roads 4.Engine ya Petrol 6G72 utat wake ni upi? Asanteni
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hujivunia sifa nzuri za kabila lao lakini kwenye sifa mbaya wanajitetea kwamba kila kabila lina hio sifa mbaya

    Sifa ya kabila flani hutumika pale kiwango cha kawaida na kilochozoeleka kikizidi kwenye kabila flani, mfano ni kawaida kukuta katika kila kabila kuna mtu moja kati ya 100 ana sifa fulani lakini kuna kabila fulani wamezidi hiki kiwango, unakuta wapo hata watu nane ama zaidi kati ya 100 wenye...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini

    Jana Jumamosi Februari 19, 2022 Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Mwenda na kuhudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Madini wa ndani ya Wilaya na kutoka Makao Makuu huku Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu za wana JamiiForums

    1. Wote wana magari. 2. Wote wamefika university 3. Wote wamekaa ulaya. 4. Wote wanaishi dar. 5. Wote ni piskali mademu 6. Wote ni hendome wanaume. 7. Wote wana hela. Hao ndio wana JF ongezea ya kwako.
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ushauri tu: Wapambe tumwepushe Rais na sifa zinazoweza kumdhuru

    Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare. Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu. Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru kumfananisha Rais na Mwenyezi Mungu kwa hali yoyote. Ni ushauri tu.
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Iran awakosoa Rais Biden, Trump asema wameharibu sifa ya Marekani

    Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani. Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
  13. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Sifa ama tabia zinazoonesha maturity (ukomavu wa akili)

    Ngoja nikuambie kitu?, Unafikiri kuna umri fulani ambapo maturity huanza? Labda mpaka uwe na miaka 20, 40 ama 60!?. Hapana, katika experience yangu binafsi, nimeona kwamba umri hauna uhusiano wowote na mtu kuwa matured. Nimekutana na vijana ambao wako matured zaidi ya umri wao, na nimewaona...
  14. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

    Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
  16. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mpina aibukia Zanzibar kuchukua fomu kuwania Uspika, azuru kaburi la hayati Sheikh Abeid Amani Karume

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar huku akibainisha kuwa kwa sasa wananchi wanahitaji Spika imara, jasiri na mwenye weledi asiyeyumba wala kuyumbishwa na mtu yoyote katika kuusimia...
  17. Sajo

    JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  18. jiwekuu770

    JamiiForums Tanzania Sifa inayopata Rwanda Msumbiji ilibidi tuwe tunapewa Tanzania kama Jeshi letu lingeenda na kasi ya Mwl. Nyerere?

    Miaka 1960-1980 jeshi la Tanzania lilikua ni tishio Africa. Kwa East Africa ndyo lilikua kinara kwa ubora na kuogopeka kijeshi? Vita ya tz na Ug ililipa headline nyingine achilia mbali kushiri ukombozi katka nchi zingine. Lakin sasa zama zimebadilika Uganda ya sasa si ile Kenya nayo imepiga...
  19. babu M

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu ana sifa na anastahili kuwa Waziri Mkuu!

    Mchapa kazi, ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM na nje ya CCM, amekuwa akifanyia kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa pale malalamiko yanapotokea kwenye wizara anazozisimamia, mtu wa kujituma nani mfuatiliaji yanayofanyika kwenye wizara yake kwa ukaribu zaidi(hana u-mangi meza!), Sio mtu wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

    Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa! Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake! Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa! Utawasikia wakisema haya! 1. Inchi imepoteza...
Back
Top Bottom