siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. F

    Leo ndio najua David Mwakyusa bado yupo kwenye siasa

    Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis...
  2. B

    Nani kawatuma wananchi kumwona Mbowe shujaa wa siasa za Tanzania?

    Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka iliyomchukiza Mungu wakati Abel alitoa sadaka infaayo Mungu. Matokeo yake Sauli hakulia na kumshutumu...
  3. Nini maoni yako baada ya Malissa kuacha siasa za kiharakati na kuwa fundraiser?

    Kijana kutoka Chadema ndugu Godlisten Malisa ameamua kuacha siasa za pingapinga na badala yake ameamua kufanya kazi ya Mungu, kuwasaidia wenye uhitaji. Japokuwa hamna hata siku moja amewahi kutoka hadharani na kumpongeza rais JPM kwa ushindi na jitihada zake za kuinua maisha ya watanzania lkn...
  4. Maalim Seif: Siasa za mivutano zinaathiri ustawi wa Zanzibar

    MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano. Akiwa kwenye ziara yake katika Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba jana amesema, mivutano ya kisiasa imekuwa ikiathiri ustawi wa Zanzibar. “Sisi sote tuna maslahi mapana na...
  5. M

    Aina hii ya Uongozi, Siasa na Amri Kitaalam inaitwaje?

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bwana Gelasius Byakanwa atoa mwezi 1 kila mwananchi mkoani humo ahakikishe anamiliki shamba la Mikorosho, vinginevyo serikali itawachukulia hatua za kisheria. Taarifa: ITVTanzania
  6. Mbatia: Uchaguzi uliopita umetuacha uchi kama Taifa. Watanzania wamekata tamaa kwa Siasa zinazoendelea Nchini

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika waraka wake wa Kheri ya Mwaka Mpya 2021, alioutoa kwa wanachama wa chama hicho na Watanzania amesema, Taifa limeingia...
  7. P

    Je, ni kweli kwamba siasa ni mchezo mchafu?

  8. J

    Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo 2021 Vijana chapeni kazi siasa tutazikuta tena 2025 tukijaliwa uzima!

    Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele. Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache. Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
  9. B

    Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

    Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
  10. J

    Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

    Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini. Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam. Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma...
  11. Siasa za Afrika zinaharibiwa na watawala walioko madarakani

    Siasa za Kiafrika zimejaa hila uhuni mauwaji jinai utekaji hujuma wizi na kila aina ya uovu. Yaliyotokea Tanzania ndio yanatokea Uganda kwa Museveni. Somo la historia tunalofundishwa kuwalaani wazungu na ukoloni wao kwetu inabidi tubadili mtaala wake kwasababu viongozi wa Afrika wa sasa ni...
  12. J

    Pendekezo: Ingeundwa Wizara ya Dini ambayo ingesimamia mahusiano ya dini na siasa

    Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa. Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya...
  13. Lyatonga Mrema: Shushushu aliyebadili siasa za Tanzania

    Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z. Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni. Alipoibua ufisadi wa Singasinga Chavda juu ya mashamba ya mkonge aliyoyapata kwa ufisadi, alijikuta anapewa...
  14. Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

    Hope kila mmoja ameshiba pilau. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira ya ualimu mwaka huu(alikuwa mzigo), But alipangiwa mkoa wa mbali sana na tulipo hivyo baada ya...
  15. TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

    Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele. Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
  16. T

    Uganda katika kiza kinene cha siasa

    Uganda ipo katika Giza nene la siasa. Kinachoendelea Uganda kinamtisha Rwanda japo kinacho endelea Uganda kitazuwa Jambo nchi majirani. Pray for East Africa.
  17. Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  18. Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

    Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga lakini pia wafanyabiashara wenye maduka nao wanatakiwa kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara...
  19. Hii ndio sababu ya watu kukimbilia siasa hasa nafasi ya Ubunge

    Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu shilingi 120,000 kwa siku. Baada ya miaka mitano ya ubunge wake anapokea pensheni ya shilingi milioni 240...
  20. B

    Kwanini watu muhimu kwa Taifa wanajitenga na siasa Tanzania?

    Duniani wanasiasa ni mchanganyiko wa makundi ya watu waliopo kwenye jamii, kukosekana kwa makundi haya nikukosekana kwa washauri wazuri ndani ya Bunge. Bunge linapaswa liwe na wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa senior officials, senior Government official wa aina ya Mkuchika, wafanyabiashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…