Nukuu ya Mzee Ally Hassani Mwinyi kuhusu Siasa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,193
4,661
"Siasa Hazikuja kwa lengo la Kuleta Uhasama bali kukuza demokrasia katika nchi"

Rais Mstaafu wa awamu ya 2 Mzee Ally Hassani Mwinyi katika mahojiano maalumu na TBC 2016 kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
 
Lakini hii Leo ukionekana kukosoa jambo Fulani unapigwa vita wewe ikibidi Hadi uchizi unarogezewa
 
Back
Top Bottom