siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. S

    Vijana msije tumiwa vibaya kwenye mikutano ya Siasa

    Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya...
  2. R

    Je, kuna faida gani ya kuwa na mikutano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi?

    Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani. Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea? Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye...
  3. M

    Kamati imetumia 'siasa’ suala la Fei Toto

    SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu. Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe kisiasa na kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Fei Toto...
  4. N

    Kwanini huko Ughaibuni kama Marekani na Uingereza wasomi (Maprofesa na Madaktari) hawashoboki na siasa?

    Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax...
  5. R

    Wapenzi wa Siasa za Hoja tunaingia. Hatutaki ugomvi na mtu. Rais Samia aliwapa onyo UVCCM juzi

    Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia. Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
  6. Stephano Mgendanyi

    Milioni 200 zajenga madarasa Ludewa, kamati ya siasa yapita kukagua

    MILIONI 200 ZAJENGA MADARASA LUDEWA, KAMATI YA SIASA YAPITA KIKAGUA Ikiwa tunaelekea mwezi Januari mwezi ambao wanafunzi huripoti shuleni kuanza na kuendelea na masomo yao, kamati ya siasa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefanya ziara ya kukagua vyumba 10 vya madarasa katika sekondari...
  7. Fukua

    Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  8. comte

    Mkitaka kujibizana na CHADEMA someni sana. CHADEMA ni weupe, wazushi na hawezi siasa za hoja na ukweli

    Mdude Chadema @mdudechadematz Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi...
  9. Brain Kingdom

    Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
  10. MR.NOMA

    Je ,Umewahi kufuatwa na kuombwa ugombee uongozi wa Kikundi au katika chama Cha Siasa. Tueleze ilikuwaje? Ulikubali/ ulikataa?

    Huu ni Uzi wa kubadilishana uzoefu katika maisha. Tuambie kama iliwahi kutokea ukafuatwa na kuombwa ugombee nafasi flani. Mimi binafsi niliwahi kufuatwa na chama flan Cha siasa mpaka nyumbani, jamaa walikuja na wakaniomba nichukue fomu ya kugombea udiwani katika eneo ninaloishi. Lakini...
  11. REM GROUP

    SOFTWARE Tunatengeneza na kudesign logo/website pamoja na android application

    Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 170,000/tu. Gharama zinajumuisha; Free .co.tz domain/year Free hosting for 6...
  12. Getrude Mollel

    Hizi ni sababu tatu kubwa CCM itaongoza milele

    Ni kweli lengo kubwa la chama chochote cha siasa duniani ni kushika dola. Ukweli mchungu kwenye hili ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania, bado sikioni hata chama kimoja kati ya vyama vyote 18 ukitoka CCM, ambacho kina msuli wa kuongoza dola. Zipo sababu kadhaa ambazo kwa maoni yangu, naziona kama...
  13. K

    Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
  14. K

    Mrisho Gambo amvaa Lema, amtaka alipe madeni yake kwanza

    Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena. Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa...
  15. R

    Wanasiasa watano ambao waliipenda siasa ikawanufaisha lakini ikawadhalilisha kuwaondolea utu wao hapa nchini kwa miaka ya karibuni hawa hapa

    1. Job Ndugai; alipata madaraka makubwa na katika maeneo yote aliyowahi kuongoza hakuna eneo alifanikiwa kupewa sifa Bali siasa ilimfedgeesha. Kwa SASA amezeeka lakini uzee wake umeambatana na fedhea kubwa Sana yakuondolewa uspika kabla ya kumaliza muda wake. Mdomo uleule uliompa nafasi ndio...
  16. Behaviourist

    Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
  17. sammosses

    Hongera Rais Samia, lakini siasa siyo uadui

    Hongera mh. Rais Samia kwa mtazamo na maono yako kuzingatia misingi na falsafa za maridhiano. Safari hii ni ndefu sana ambayo bado naviona visiki kwenye msamaha wa mikutano ya hadhara ambayo ilizuiwa kwa upande mmoja ili kudhoofisha upande wa pili. Nakupongeza kwa kuwa umezingatia misingi...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

    Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti. Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa. Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu? Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
  20. J

    Swali kwa Wanasiasa: Kati ya Shetani na Binadamu nani ni baba wa Uongo?

    Inadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini? Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile? Yawezekana shetani anasingiziwa mengi. Maoni na Majawabu tafadhali!
Back
Top Bottom