siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

    Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
  2. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Maisha bila siasa

    Katika vitu vinasababisha na kupunguza muda wa kuishi na afya ya akili ni masuala ya siasa. Kila siku ni kusababisha presha na hasira zisizo na maana. Utasikia mafuta yamepanda, umeme umekatika mara bomba la maji litatoa upepo, shule michango nk. Huku kauli zao zikipandisha zaidi hasira na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

    Wanajamvi kwema..... Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kuanzisha chama kipya cha siasa

    Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana! Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata kwa kwenda, kama Dr. Slaa, amekataliwa CHADEMA, amekataliwa CCM, na anapenda kuendelea na siasa. Au...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  9. D

    JamiiForums Tanzania CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Athari za kuchanganya Siasa na Dini

    Uhusiano kati ya dini na siasa ni suala ambalo limekuwa na athari kubwa katika historia ya binadamu. Dini na siasa zinaweza kuwa na uhusiano wa karibu au wa mbali, na athari za uhusiano huu zinaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kihistoria, kitamaduni, na kijamii. Hapa kuna baadhi ya...
  11. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Siasa na dini

    Kuna baadhi ya viongozi wa vyama na serikali wamekuwa waki toa maneno, wakiwataka viongozi wa dini wasijiingize kwenye siasa. La ajabu hao viongozi ni waumini wa hizo dini, na walipoapishwa, waliapa kwa kushika vitabu vya dini zao. Pia wanapokuwa kweny matukio mbalimbali, wanawashirikishia...
  12. voicer

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete anatakiwa kuelewa kuwa Dini ni Siasa na Siasa ni Dini

    MHESHIMIWA KIKWETE SISI WATUMISHI WA MUNGU HATUWEZI KUTOFAUTISHA SIASA NA DINI KWA SABABU SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA. Na Mwandishi wetu Mzalendo Mtanganyika toka Ughaibuni. 20 August 2023. 16:30 pm Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anatofautishaje mapato ya sadaka na matumizi ya kufanya siasa?

    Nimeona Gwajima amekusanya vijana wa kumlinda na kushiriki naye kuzunguka jimbo la Kawe. Naamini hawa vijana wamepangisha nyumba, wanakula na pia wanayo matumizi mengine mengi. Kwa mantiki hiyo hawa vijana wanalipwa na mlipaji maana yake ni Pastor Gwajima. Lakini Gwajima chanzo chake cha...
  14. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Kikwete watumishi wa Mungu hawezi kutofautisha siasa na dini kwa sababu siasa ni dini na dini ni siasa

    Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸 Kwanza kabisa napenda niwashukuru Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuuelewesha Umma. Kanisa Katoliki ni...
  15. Dickson Ng'hily

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
  16. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania CCM na Magenge Yenu Msitupotoshe: Uwekezaji Sio Siasa

    Moja kwa moja kwenye mada. Ulipoanza mjadala kuhusu bandari waliopinga mkataba tuliambiwa wanapotosha. Mjadala haukuishia hapo wapingaji wakazidi kupata nguvu. CCM nao wakaanza ziara nchi nzima kutoa elimu kua mkataba hauna tatizo. Ajabu zaidi wakaanza kitudanganya waziwazi kuwa ule sio mkataba...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo Kasema tukiwakemea msiseme tunachanganya dini na siasa kama tulivofanya sasa

    Hello JF, Baba Askofu Shoo, kamaliza kaonesha Umoja wa tamko kasema hata tukiwakemea kama tulivofanya sasa msiseme tunachanganya dini na siasa. Baba Askofu Shoo kamaliza kila kitu. Tumsifu Mola wetu. Asante Baba ASKOFU SHOO 🙏🙏🙏🙏. Ni hayo tu.
  19. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Katoliki kuhusu Mkataba siyo siasa, ni wajibu wa kiuchumi

    Kwanza lazima tuelewe kwamba Mkataba siyo sera ya kisiasa ya cahama chochote. NI suala la kiuchumi. Hivyo kuujadili siyo siasa, ni mjadala wa kiuchumi. Kama ni uchumi nani asiyefahamu kwamba Katoliki ni moja ya madhehebu yanayotoa mchango mkubwa kwenye sekta za kiuchumi, Afya na Elimu...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania WAKOMUNISTI pekee ndio wamefaulu kuweka mbali dini na siasa za nchi

    Katika historia ya dunia na uchipukaji wa dini duniani unaonesha kwamba mara nyingi dini huenda sambamba pamoja na siasa na tawala za nchi. Hali hii ilikuwa na nguvu katika ujenzi wa mwanzo wa mataifa ya Ulaya na makoloni yake sehemu mbalimbali za duniani hata mataifa ya mashariki ya kati nayo...
Back
Top Bottom