Wakuu,
Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini?
Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia...