siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji ajiondoa kutetea nafasi ya Uenyekiti ACT

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ACT – Wazalendo na kumuunga mkono makamu wake, Othman Masoud Othman. Babu Duni amejiondoa kutetea nafasi hiyo aliyokuwa akihudumu kabla ya muda wake kuisha leo Jumatatu...
  2. JamiiForums Tanzania Je, PhD hewa zipewe kipaumbele kwenye nafasi za uongozi na siasa?

    Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa na ongezeko la watumishi wengi wa umma ambao wanaongeza elimu ili kujiweka katika nafasi nzuri za kuwa viongozi katika ngazi mbalimbali za serikali. Asilimia kubwa wakiwa ni watumishi wanaowania Masters na asilimia iliyobaki ni PhD. Hii imepelekea mfumo...
  3. JamiiForums Tanzania Katika Ibada takatifu St. Theresa Arusha Mizengo Pinda alipewa nafasi ya kusalimia akaanza siasa

    Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini. Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican 🇻🇦 alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo...
  4. JamiiForums Tanzania Kesho najiondoa rasmi CHADEMA. Nimechoshwa na siasa njaa na kuendekeza matumbo

    Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri. Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi. Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

    Hii ni Mbeya + viongozi wote wa kitaifa + waandishi wa habari+kwa yeyote anayejisikia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

    Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya. Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali. Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili. Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia...
  8. JamiiForums Tanzania Tunapoelekea siasa zitaangamiza taifa na machawa kufanikiwa

    Wasaalam ndugu zangu watanzania, Nina machache kuwaeleza kutoka vyanzo vya ndani vinavyoona vya mbali. Mkakati ulisukwa ukasukika japo hawakutegemea kama utatiki kiasi hiki... pepo imeamia nchini wachache ndo wanaoiona na kuishi. Miungu inaongezeka yote inadai sifa ikimsifia mungu mtu mmoja...
  9. JamiiForums Tanzania USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu

    USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu Wananchi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wahaswa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan pamoja na Chama cha Mapiduzi CCM katika kuleta maendeleo ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Moshi Vijijini acheni siasa za kuchafuana, muda bado

    Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 jimbo la Moshi vijijini lilimpata mbunge wake,Profesa Patrick Ndakidemi kupitia chama cha mapinduzi(CCM)baada ya kuwashinda wapizani wake akiwamo mpinzani wake mkubwa kwenye kura za maoni,Morris Makoi. Falsafa ya chama cha mapinduzi ni kwamba,baada ya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kama tumekata tamaa kiasi hiki kwenye suala la kupiga kura, kuna matumaini ya kupata viongozi bora?

    Wakuu, Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu; Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo? Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi. Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa za MAGA, MATAGA na Mwamba Tuvushe ni hatari sana. Ni siasa za kinazi

    Trump alikuwa na slogan yake ya Make America Great Again(MAGA). Baadaye wafuasi wake wakaanza kuitwa MAGA. Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu Trump. Kwao Trump ni kama Malaika au demigod. Kwao Trump hakosei(licha ya kukabiliwa na kesi kama 91). Hawa ndiyo mwezi wa kwanza mwaka 2021 walivamia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siasa na utajiri

    Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka. Ukiangalia vizuri marafiki zao wa kweli sio makada na vyama bali watu. Chini chini Mbowe ni rafiki wa wote hao kwasababu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nakiri kwamba naendelea kujifunza siasa za Tanzania

    Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa. Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila chenga ni kwamba APANDACHO MTU NDICHO HUVUNA, na MWANADAMU HAWEZI KULINGANA NA MUNGU. Nitaelezea mtazamo...
  15. JamiiForums Tanzania Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  16. JamiiForums Tanzania Nilitarajia CHADEMA wangetumia msiba wa Lowasa kuiomba msamaha familia yake

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa. Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake...
  17. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

    Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015. Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ifahamu miamba ya siasa za bongo kulingana na kanda

    Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye siasa zetu miamba hii na bila shaka mwanzo wa mwisho wa kipindi hiko umefika. Na hii ndio miamba...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa ni kitu gani?

    Wakuu sana, Hiki kitu tunaita siasa. Mtu anafanya siasa. Huyu ni mwanasiasa, ni kitu gani? Siasa ni kitu gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…