siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Uturuki wajitetea kwamba matamshi yao dhidi ya Israel ilikuwa siasa tu, wasichukuliwe serious

    Kwamba jameni ile ilikua siasa tu, msiwe mnachukulia kila kitu kwa uzito. ============ While Turkish President Recep Tayyip Erdogan has been attacking Israel since the war in Gaza began, he actually wants to improve diplomatic relations with Israel, Maariv reported on Tuesday. Last week, the...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ndio wakati wa Ally Hapi kurudi kwenye ulingo wa siasa?

    Baada ya tengua na teua zilizotolewa usiku huu, je ndo wakati wa kumleta ndugu Ally Hapi kwenye ulingo wa siasa kama ilivyofanyika kwa Makonda? Let's wait and see.
  3. JamiiForums Tanzania Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana. Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Huyu hapa
  5. JamiiForums Tanzania Ukabila, ukanda, udini, ubinafsi na siasa vitaigawa Tanzania siku za usoni, tuvikemee

    Ukitazama Muundo wa Kupata kazi sehemu Nyingi za Serikali, kumekua na Ukabila, Ukanda, Udini, Ubinafsi na siasa, hivi vimetawala Sana katika akili za watu wengi, ninachokiona kupitia hivyo, siku zijazo vitatumika kuligawa hili Taifa. Mfano wazanzibar walioko katika Vyombo vya usalama na sekta...
  6. JamiiForums Tanzania Onyo: Wakileta siasa uwanjani, tutaombea timu za Tanzania zifungwe

    Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani. Ukiwa na kiherehere...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  8. JamiiForums Tanzania Leseni na Bima ya kufanya siasa

    Yaani Nawaza Kisichowezekana Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka kufanyakazi wanapaswa wawe na leseni. Mfano Madaktari, Walimu, Mafundi wanatakiwa wawe na vyeti vya ufauru...
  9. JamiiForums Tanzania Acheni siasa za mpira, ukubwa wa Mamelod ni upi?

    Ukubwa wa mamelod ni upi? Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa? Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku? Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au? Mamelodi kazidiwa mafanikio na Al ahly Wydad...
  10. JamiiForums Tanzania Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
  11. JamiiForums Tanzania Nini tathmini ya matokeo ya vyama vya siasa kuandamana kupinga hali ngumu ya maisha?

    Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha? Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii? Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge? Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi, vyama vya siasa viwe vitatu pekee

    Salaam, Shalom. Ili kudhibiti matumizi mabaya ya pesa kwenye uchaguzi, pia Ili kuhakikisha vyama vinagharimia ipasavyo wagombea wao, na Ili kuondoa ubaguzi Kwa wagombea wasio njema kiuchumi, nashauri yafuatayo; 1. Vyama vya siasa nchini viwe vitatu pekee. 2. Vyama vingine vifutwe au...
  13. JamiiForums Tanzania Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

    1.vina Wana chama wengi 2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa 3.vina matawi kila sehemu kote vijijini 4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji 5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake 6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na...
  14. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Siasa zetu ni za kumuunga mkono mtu na siyo sera

    Profesa Lipumba: Siasa zetu ni za kumuunga mkono mtu na siyo sera
  15. JamiiForums Tanzania AFP: Upotoshaji wa taarifa wakati wa Uchaguzi huweza kumhusu Mgombea, Chama cha Siasa au Mfumo Mzima wa Uchaguzi

    Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo. Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea hulenga kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu Mgombea fulani. Upotoshaji wa Chama cha Siasa hukusudia...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya

    Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita Mhe. Nicodemus Maganga amewataka wananchi wa Kata ya Isebya kujiepusha na maneno ya uchonganishi yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Mhe. Maganga ametoa wito...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

    Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais. Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri. Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa. Shamba...
  18. JamiiForums Tanzania NHIF tofautisheni Sayansi na Siasa, Serikali ingilieni kati hili jambo

    NHIF hizi mnazofanya ni siasa kwenye uhai wa watanzania. Imagine mtu unaamua kujikamua unalipa ki NHIF chako cha laki 7, lakini unapoenda hospitali unaanza kuambiwa hiki NHIF hawana coverage yake, tena vitu basic kama sindano?, this is totaly unacceptable. Serikali ni vizuri mkaingilia hili...
  19. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za CCM ni kama Maisha ya Nyoka, kujichubua na kutaga mayai

    SIASA ZA SISIEMU NI KAMA MAISHA YA NYOKA, KUJICHUBUA NA KUTAGA MAYAI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Aliyesema SISIEMU itadumu daima hakusema kwa bahati mbaya. Alisema huku akijua kuwa Ukoloni upo na mpaka leo unadumu. Ili SISIEMU ife itahitaji Ukoloni nao ufe. Nazungumzia Ukoloni wa wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…