siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

    RC wa Manyara, Alexander Mnyeti amefuta kikundi cha watu wa Kilimanjaro waishio Manyara. Wiki chache zilizopita alikifuta kikundi cha watu wa mkoa wa Mara waishio Manyara. Amesema ataendelea kuvifuta vikundi/vyama vyote vya watu kutoka mikoa mingine waishio Manyara kwa sababu havina faida kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni utamaduni wetu kuongelea siasa kuliko Maendeleo binafsi?

    Najiuliza tu na hii ni sehemu nyingi sana Duniani. Watanzania tukikutana sehemu yeyote tunaongelea siasa sana lakini cha ajabu ni vitu viwili muhimu kwenye maongezi mengi 1. Hatuongelea maendeleo binafsi ya kujiendeleza na cha ajabu maendeleo sisi tunaona kama ni mambo ya kibinafsi isipokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za Humphrey Polepole zaiponza TRC. Safari za treni Dar - Kilimanjaro zaanza kupuuzwa, Wizara ya Uchukuzi yalaumiwa

    Kitendo cha Polepole kutumia mali ya umma ili kutafuta umaarufu kwa chama chake kilichochoka cha CCM kimewatafakarisha baadhi ya wadau wa usafiri, ambao wameweka msimamo wa kutokutumia usafiri huo abadani. Polepole si kiongozi wa serikali wala si Ofisa wa Shirika la reli ama wizara husika...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Nchi yetu kubadilisha Katiba ya nchi na kuwa ya chama kimoja cha siasa?

    Kutokana na mienendo ya kisiasa inavyokwenfa nchini kwetu, kuna tetesi kuwa watawala wetu wako mbioni kurejesha mfumo wa chama kimoja Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inatamka kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itaendeshwa katika mfumo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Siasa ya Siyo KaziI: Utasahau tu

    Moja ya KAZI kubwa ya viongozi ni kuwaletea maendeleo wananchi nao wananchi ni kuandaa mazingira ya maendeleo lakini tunakutana kwenye ni upepo tu utapita au umetaka mwenyewe Ni muda wa kutafakari wakati wa makinikia walikubaliana nini maana siyo KAZI kuanzishwa viwanda nchini: Kiwanda cha...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa za kaulimbiu: Kipi kimebaki?

    Moja ya jukumu kubwa ya watu wa interest ni ahadi za viongozi uwe Chadema au CCM ipo siku tutawatumia Ila pale inaposhindikana inakuwa mashindano yasiyo na maana mathalani: Wakati wa Rais Mstaafu Kikwete ilikuwa "Kilimo kwanza" lengo ilikuwa ni kuboresha kilimo matrector kibao yalikuja na kuoza...
  7. JamiiForums Tanzania Wanayoyasema juu ya haki

    Habari wanajamii, Haki ni kitendawili ambacho kimewaandama wanafalsafa wakubwa waliowahi kutembea kwenye uso wa dunia hii tangia enzi hizo watu walipoanza kufikirisha mbongo zao huko UGIRIKI. Kwa kufwata mtiririko ntaeleza yaliyowahi semwa juu ya haki. Ntaanza na plato yeye alifika hitimisho ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kuingiliwa siasa zetu na nafasi yetu katika kukemea na kudhibiti, Katibu mkuu wa CCM kafungua njia tuifuate. Case study: uchaguzi S/M

    Zikiwa zimepita takribani siku tano tangu kumalizika kwa amani uchaguzi wa serikali za mitaa na matokeo kutangazwa na washindi kusheherekea ushindi wao, sasa muda wa kuliangalia swala la uchaguzi katika upana ili kuyaziba mdomo mataifa yanayoonesha kupingana na uchaguzi huo. Baada ya matokeo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uhalifu wa demokrasia unaofanywa na CCM, bado kinastahili kuitwa chama cha siasa?

    Sote tumeshuhudia uvuruga wa demokrasia unaoendelea nchini chini ya usimamizi wa CCM. CCM imesimika sheria za kiimla na za kidikteta ambazo hata wakoloni hawakutunga sheria za kihalifu za kiwango kikubwa kiasi hiki. Sote tumeona kwa macho na tumesikia kwa masikio katibu mkuu wa CCM akiikana...
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today Botha speech 1985 THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
  11. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dini: Neno la bwana ni kitabu cha Hesabu kinachotoa project ya Kufanya KAZI pamoja katika kuondoa Siasa Ngumu

    Kitabu cha dini ya kikristo yaani Bible kinatumika Sana katika Siasa za kila MTU anaukuhimu na mawazo yako yatatawala MILELE.. kwakuwa Leo ni siku ya jumapili ni Bora tujibonyeze kwenye kitabu cha Hesabu tukamsome Simon na population yake ambapo aliamua kuwapeleka vijana wake vitani ili kuondoa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za maisha magumu na nini utataka baada ya hapo!?

    Hapo ndipo kila MTU alikuwa hapotezi muda kupelekea kwenye Siasa za KUPLAN kupelekea maisha ya mbele.. aliyefika mbele utajua kama unamradi wa matofari ilikuwa hupotezi muda maana IPO siku geti na bati tutayeyusha na kutengeneza mabati ya JAMII mtaa Kwa mtaa.. Tunamawazo Mazuri Ila yataishia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za majaribio: IPO siku tutaelewa Siasa za Kwa nini Mhe. Magufuli aliwapa Hati Mabalozi wajenge wenyewe

    Tanzania inaongozwa Kwa story chafu ambazo wataalamu wa mambo wanaojua KUPLAN huzitumia kuharibu KAZI za nchi nyingine au kichwa cha MTU.. Tumekuwa tunashuhudia RAIS akijifanyia maamuzi yasiyo na makosa Kwa JAMII Kwa sababu tumempa thamana aongoze Nchi yetu.. Ni muda SASA alitoa Hati miliki Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

    Kwanza naomba niombe radhi kwa balozi wa Canada nchini Tanzania kama kweli ulimuita na kumzungumzia yale uliyozungumza leo. Pili siamini kama hujui kuwa kuna tofauti kubwa kati ya Marekani na Canada kwani Canada yupo jumuiya ya madola wakati Marekani haipo. Sasa basi, tuje kwenye hoja ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Lissu afike Mahakamani Desemba 19

    Mh Hakimu anasema hataki siasa: "Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee". Ndugai: Sijui Lissu alipo, namvua ubunge Rais: Ametelekeza jimbo Hakimu: Sitaki siasa, aje kesi iendelee ==== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemwagiza...
  17. JamiiForums Tanzania Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
  18. JamiiForums Tanzania Jaribio la kugawanya vyama vya siasa Tanzania kutokana na misimamo ya siasa

    Mwanadamu kama mwanadamu waweza mtafsiri kama mnyama anayefanya siasa. Binadamu na maisha yake hapa duniani lazima afanye siasa, kwasababu siasa haikwepeki. Hii siasa yatokana na asili ya mwanadamu kushirikiana katika mambo tofauti. Hivyo, ili mwanadamu kuepusha kuishi kama wanyama pori...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

    Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket" Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Siasa ya kujitoa: Hata CCM ilitakiwa kujitangaza kuwa imejitoa kwenye uchaguzi

    Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…