siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kununuliwa kwa ndege, Reli na kuhamia Dodoma ni kilimo cha kurudisha Siasa za Wazee!?

    Tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakitumia MAISHA ya mazingira kuwafundisha watu MAISHA ya Siasa, uchumi, utamaduni, sanaa n.k Mambo makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya Tano ni ishara kubwa kuwa nyumba ya ikulu ilikuwa inanuka na maandalizi ya kufikia uchumi wa Kati Kwa...
  2. Albert Einstein

    JamiiForums Tanzania Zitto anafahamika kwa biashara ya siasa

    Wasalaam Na Galila Wabanh'u Nimesoma makala ya Mhe Zitto Zubeir Kabwe mbunge wa Kigoma mjini akipotosha juu ya mradi wa bandari ya Bagamoyo kama moja ya mradi unaopaswa kutekelezwa katika eneo hilo pamoja na ujenzi wa reli yetu ya kisasa ya SGR. Kwa wasiofahamu Ndugu Zitto anajulikana kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Spika mstaafu wa Bunge la Kenya awaasa Wabunge na Spika Job Ndugai kuwa wasijisahau kwani kuna maisha baada ya siasa

    Spika mstaafu wa bunge la Kenya amewaambia wabunge wa Kenya mbele ya mgeni rasmi Spika wa Tanzania mh Job Ndugai kuwa waache kiburi na kujikweza kwani kuna maisha baada ya siasa. Spika huyo mstaafu amewakumbusha wabunge hao kuwa wafuasi wao wanaowashangilia leo ndio hao hao watakaowatukana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia dhana ya " product life cycle" kwenye siasa CCM na Chadema ziko katika hatua gani?

    Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku. Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  7. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Siasa chafu na dhulma zinapojitokeza; ni nini tufanye?

    Kuna matukio mengi mabaya ambayo yanajitokeza katika siasa za Tanzania ambayo pamoja na ukweli kuwa yanasababishwa na watu; mimi na wewe pengine hatuna uwezo wa kuyazuia yasitokee.Mengine yanahusisha siasa chafu, mengine dhulma kwa watu wengine n.k Katika mazingira ambayo yanatokea mambo...
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini mumeamua kufuga Bundi na kuachana na Kuku, siasa itaua utamaduni wetu

    Na Elius Ndabila 0768239284 Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
  10. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wizara ya elimu inafanya majaribio hatari kwa elimu ya watoto wetu?

    Mwaka 2016 kulitolewa sera na muongozo mpya wa elimu ya msingi. Mitaala ikabadilishwa na kutolewa maelezo kwamba elumu ya msingi itaishia darasa la 6 badala ya darasa la 7 kama zamani. Wazazi, wanafunzi na shule wote wakajiandaa na jambo hilo ikiwemo kuhusu plani ya bajeti namna watakavyo...
  11. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
  12. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Fikra za Katuni, Siasa za Siasa nchini!

    Fikiria nje ya Box na Wachora Vibonzo Mbalimbali.
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya Tanzania

    Unaijua biashara ya mtandao? Hii ni siri nzito usiyoijua Biashara ya mtandao – hii ni biashara tofauti na watu kama Facebook, Zoom, matangazo ya kulipia au tovuti na barua pepe. Biashara hii au mfumo huu ambao unaitwa ujasiriamali, mara nyingi si halisi kama watu wanavyouuza mtaani. Watu wengi...
  14. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  15. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo kwenye balehe...

    Nchi yaweza kuchukuliwa kama kiumbe ambacho kina baathi ya sifa ambazo mwanadamu anazo na sifa ambazo haiwezi kuzipata kutokana limitation ya kwamba nchi inaexist katika mind construct ( shared belief) kwamba watu ambao wapo ndani ya mipaka ambayo inaweza kuwa physical au imaginary line drawn...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Back
Top Bottom