Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Zikiwa zimepita takribani siku tano tangu kumalizika kwa amani uchaguzi wa serikali za mitaa na matokeo kutangazwa na washindi kusheherekea ushindi wao, sasa muda wa kuliangalia swala la uchaguzi katika upana ili kuyaziba mdomo mataifa yanayoonesha kupingana na uchaguzi huo.
Baada ya matokeo...
Sote tumeshuhudia uvuruga wa demokrasia unaoendelea nchini chini ya usimamizi wa CCM. CCM imesimika sheria za kiimla na za kidikteta ambazo hata wakoloni hawakutunga sheria za kihalifu za kiwango kikubwa kiasi hiki.
Sote tumeona kwa macho na tumesikia kwa masikio katibu mkuu wa CCM akiikana...
Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today
Botha speech 1985
THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
Kitabu cha dini ya kikristo yaani Bible kinatumika Sana katika Siasa za kila MTU anaukuhimu na mawazo yako yatatawala MILELE.. kwakuwa Leo ni siku ya jumapili ni Bora tujibonyeze kwenye kitabu cha Hesabu tukamsome Simon na population yake ambapo aliamua kuwapeleka vijana wake vitani ili kuondoa...
Hapo ndipo kila MTU alikuwa hapotezi muda kupelekea kwenye Siasa za KUPLAN kupelekea maisha ya mbele.. aliyefika mbele utajua kama unamradi wa matofari ilikuwa hupotezi muda maana IPO siku geti na bati tutayeyusha na kutengeneza mabati ya JAMII mtaa Kwa mtaa..
Tunamawazo Mazuri Ila yataishia...
Tanzania inaongozwa Kwa story chafu ambazo wataalamu wa mambo wanaojua KUPLAN huzitumia kuharibu KAZI za nchi nyingine au kichwa cha MTU..
Tumekuwa tunashuhudia RAIS akijifanyia maamuzi yasiyo na makosa Kwa JAMII Kwa sababu tumempa thamana aongoze Nchi yetu.. Ni muda SASA alitoa Hati miliki Kwa...
Kwanza naomba niombe radhi kwa balozi wa Canada nchini Tanzania kama kweli ulimuita na kumzungumzia yale uliyozungumza leo.
Pili siamini kama hujui kuwa kuna tofauti kubwa kati ya Marekani na Canada kwani Canada yupo jumuiya ya madola wakati Marekani haipo.
Sasa basi, tuje kwenye hoja ya...
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani.
Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma".
Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua.
Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema;
"Kwetu...
Mwanadamu kama mwanadamu waweza mtafsiri kama mnyama anayefanya siasa. Binadamu na maisha yake hapa duniani lazima afanye siasa, kwasababu siasa haikwepeki. Hii siasa yatokana na asili ya mwanadamu kushirikiana katika mambo tofauti. Hivyo, ili mwanadamu kuepusha kuishi kama wanyama pori...
Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket"
Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
Jamii yoyote huongoza Kwa misingi ya Sheria na Sheria ya uchaguzi inasema Chama KAZI yake ni kuteuwa wagombea pekeyake . Vyama vyote vimefanya hivyo ni muda wa CCM kutangaza kujitoa ili WAIACHIE mifumo ifanye KAZI yake... KAZI kwako Polepole
Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi...
Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa...
NCHI YA WANASIASA NA SIASA TOKA JUU TAIFA HADI KIJIJINI: CCM MNA DHAMANA
Tanzania imegeuka Taifa la ajabu sana. Ni Taifa pekee siasa inafanywa na kila mtu, kila mahali na kila muda.
Hakuna Taifa jingine duniani ambalo karibu kila mtu, kila kitu na kila sehemu kinachofanyika ni siasa. Na hali...
Mojawapo ya sababu vya nchi hii kuwa na utulivu kwa upande wa Tanganyika, ni kwa sababu ya mkakati wa viongozi wa mwanzo kuepuka kupeleka siasa kali mashinani kuanzia enzi ya TANU, UTP ya Zuberi Mtemvu, ASP,ZNP hadi enzi za TADEA na CHAUMMA. Siasa kali mashinani siyo. Kulitakiwa kufanyike...
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.
Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.
Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi...
Kezilahabi amekuwa ni msomi wa zile enzi za Vita baridi (Cold war) wakati ambao wasomi wengi wa afrika walikuwa upande wa UJAMAA, japo baadhi waliamini hawafungamani na upande wowote.
Kutokana na vita ile vijana wengi wa Tanzania na wanaharakati wa enzi hizo walijivika ujamaa kiitikani kuanzia...
Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.