Mahakama yaamuru Lissu afike Mahakamani Desemba 19

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,174
73,616
Mh Hakimu anasema hataki siasa: "Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee".

Ndugai: Sijui Lissu alipo, namvua ubunge
Rais: Ametelekeza jimbo
Hakimu: Sitaki siasa, aje kesi iendelee

====

1574414951136.png

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemwagiza mdhamini Ibrahim Ahmed wa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.

Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kumtaka afike mahakamani Desemba 19, mwaka huu kusikiliza kesi yake.

Mahakama hiyo imesema kwa kuwa mdhamini ameieleza mahakama kwamba Lissu amepona, afike mahakamani siku iliyotajwa ili kesi iweze kuendelea.

Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kumhoji mdhamini.

Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano ya hakimu na mdhamini:

Hakimu: Mdhamini wa mshtakiwa, Lissu yuko wapi?

Mdhamini: Mheshimiwa hakimu Lissu amepona, lakini amekataa kuja kwa sababu anahofia usalama wake.

Hakimu: Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee.

Alisema kesi hiyo itatajwa Desemba 19, mwaka na Lissu anatakiwa afike mahakamani siku hiyo.

Mapema mahakama hiyo iliagiza wadhamini wa Lissu kupeleka taarifa jana kuhusu mshtakiwa huyo.

Mbali na Lissu washtakiwa wengine ni, wahariri Simon Mkina, Jabir Idrisa na mchapishaji wa Kampuni ya Jamana, Ismail Mehbooh.

Kwa pamoja washtakiwa hao, wanakabiliwa na mashtaka matano ikiwamo kuandika habari za uchochezi kinyume na Sheria ya Magazeti ya mwaka 2002.

Ilidaiwa kuwa kati ya Januari 12 hadi 14, 2016 jijini Dar es Salaam, washtakiwa Jabir, Mkina na Lissu, waliandika na kuchapisha taarifa za uchochezi zenye kichwa cha habari kisemacho, 'Machafuko yaja Zanzibar.'

Katika shtaka la pili wanadaiwa kuwa Januari 14, 2016 walichapisha habari hizo ili kuleta chuki kwa wananchi wa Zanzibar.

Mshtakiwa Mehboob anadaiwa kuwa Januari 13, 2016 katika jengo la Jamana lililopo Manispaa ya Ilala, alichapisha gazeti la Mawio lililokuwa na taarifa za uchochezi.

Ilidaiwa kuwa mshtakiwa huyo pia alichapisha gazeti hilo bila ya kuwasilisha hati ya sheria ya kiapo kwa Msajili wa Magazeti.

Chanzo: IPP Media
 
'Common sense is not common', hili suala bado gumu. Kwani alipooondokea pale Dodoma hospital kuna kumbukumbu za barua ya kuomba ruhusa na jibu la 'kuruhusiwa' hadi kutamkwa rasmi kuwa kakataa kurudi!?
Busara zaidi itumike kuliko mihemko ya sheria at certain times! Huyu alikwenda nje katika mazingira ya kufa, inshallh akapona. mazingira ya Risasi zake zinaashiria involvement ya mamlaka yenye/watu wenye nguvu wanaolindwa na nguvu yenye mamlaka ya mwisho. utasemaje hutaki siasa? aje wamuue? Hakimu Busara itumike tu! (naomba radhi kama ni kuingilia mahakama)
 
Mtu kuhofia usalama wake ni siasa? Huyo hakima ajiandae kupokea tamko rasmi kutoka kwa Tundu Lissu linaloelezea kutokuwa tayari kufika mahakamani kwa sababu za kiusalama.
Pia mkumbusheni huyo Hakimu kwamba anaposema hiyo kesi itatajwa tena tarehe 15 December, 2019 asisahau kuwa huwa kuna likizo ya mahakama
 
Mh Hakimu anasema hataki siasa: "Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee".

Ndugai: Sijui Lissu alipo, namvua ubunge
Rais: Ametelekeza jimbo
Hakimu: Sitaki siasa, aje kesi iendelee

====

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemwagiza mdhamini Ibrahim Ahmed wa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.

Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kumtaka afike mahakamani Desemba 19, mwaka huu kusikiliza kesi yake.

Mahakama hiyo imesema kwa kuwa mdhamini ameieleza mahakama kwamba Lissu amepona, afike mahakamani siku iliyotajwa ili kesi iweze kuendelea.

Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kumhoji mdhamini.

Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano ya hakimu na mdhamini:

Hakimu: Mdhamini wa mshtakiwa, Lissu yuko wapi?

Mdhamini: Mheshimiwa hakimu Lissu amepona, lakini amekataa kuja kwa sababu anahofia usalama wake.

Hakimu: Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee.

Alisema kesi hiyo itatajwa Desemba 19, mwaka na Lissu anatakiwa afike mahakamani siku hiyo.

Mapema mahakama hiyo iliagiza wadhamini wa Lissu kupeleka taarifa jana kuhusu mshtakiwa huyo.

Mbali na Lissu washtakiwa wengine ni, wahariri Simon Mkina, Jabir Idrisa na mchapishaji wa Kampuni ya Jamana, Ismail Mehbooh.

Kwa pamoja washtakiwa hao, wanakabiliwa na mashtaka matano ikiwamo kuandika habari za uchochezi kinyume na Sheria ya Magazeti ya mwaka 2002.

Ilidaiwa kuwa kati ya Januari 12 hadi 14, 2016 jijini Dar es Salaam, washtakiwa Jabir, Mkina na Lissu, waliandika na kuchapisha taarifa za uchochezi zenye kichwa cha habari kisemacho, 'Machafuko yaja Zanzibar.'

Katika shtaka la pili wanadaiwa kuwa Januari 14, 2016 walichapisha habari hizo ili kuleta chuki kwa wananchi wa Zanzibar.

Mshtakiwa Mehboob anadaiwa kuwa Januari 13, 2016 katika jengo la Jamana lililopo Manispaa ya Ilala, alichapisha gazeti la Mawio lililokuwa na taarifa za uchochezi.

Ilidaiwa kuwa mshtakiwa huyo pia alichapisha gazeti hilo bila ya kuwasilisha hati ya sheria ya kiapo kwa Msajili wa Magazeti.

Chanzo: IPP Media

Kesi ilikuwa ya uchochezi wakati akiwa mbunge, sasa wamemvua ubunge, si wafute tu hiyo kesi?
 
Mahakama itoe warrant ya kukamatwa lisu haraka nchi zilizo wanachama wa interpol wamakamate apelekwe segerea asilete siasa mahakamani

State agent
 
Busara zaidi itumike kuliko mihemko ya sheria at certain times! Huyu alikwenda nje katika mazingira ya kufa, inshallh akapona. mazingira ya Risasi zake zinaashiria involvement ya mamlaka yenye/watu wenye nguvu wanaolindwa na nguvu yenye mamlaka ya mwisho. utasemaje hutaki siasa? aje wamuue? Hakimu Busara itumike tu! (naomba radhi kama ni kuingilia mahakama)
Bahati mbaya mahakama huwa hazitumii busara japo zinatumia maagizo! Hizo ndizo mahakama zetu na unaweza ukakuta hili nalo ni agizo.
 
Mh Hakimu anasema hataki siasa: "Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee".

Ndugai: Sijui Lissu alipo, namvua ubunge
Rais: Ametelekeza jimbo
Hakimu: Sitaki siasa, aje kesi iendelee

====

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemwagiza mdhamini Ibrahim Ahmed wa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.

Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kumtaka afike mahakamani Desemba 19, mwaka huu kusikiliza kesi yake.

Mahakama hiyo imesema kwa kuwa mdhamini ameieleza mahakama kwamba Lissu amepona, afike mahakamani siku iliyotajwa ili kesi iweze kuendelea.

Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kumhoji mdhamini.

Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano ya hakimu na mdhamini:

Hakimu: Mdhamini wa mshtakiwa, Lissu yuko wapi?

Mdhamini: Mheshimiwa hakimu Lissu amepona, lakini amekataa kuja kwa sababu anahofia usalama wake.

Hakimu: Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee.

Alisema kesi hiyo itatajwa Desemba 19, mwaka na Lissu anatakiwa afike mahakamani siku hiyo.

Mapema mahakama hiyo iliagiza wadhamini wa Lissu kupeleka taarifa jana kuhusu mshtakiwa huyo.

Mbali na Lissu washtakiwa wengine ni, wahariri Simon Mkina, Jabir Idrisa na mchapishaji wa Kampuni ya Jamana, Ismail Mehbooh.

Kwa pamoja washtakiwa hao, wanakabiliwa na mashtaka matano ikiwamo kuandika habari za uchochezi kinyume na Sheria ya Magazeti ya mwaka 2002.

Ilidaiwa kuwa kati ya Januari 12 hadi 14, 2016 jijini Dar es Salaam, washtakiwa Jabir, Mkina na Lissu, waliandika na kuchapisha taarifa za uchochezi zenye kichwa cha habari kisemacho, 'Machafuko yaja Zanzibar.'

Katika shtaka la pili wanadaiwa kuwa Januari 14, 2016 walichapisha habari hizo ili kuleta chuki kwa wananchi wa Zanzibar.

Mshtakiwa Mehboob anadaiwa kuwa Januari 13, 2016 katika jengo la Jamana lililopo Manispaa ya Ilala, alichapisha gazeti la Mawio lililokuwa na taarifa za uchochezi.

Ilidaiwa kuwa mshtakiwa huyo pia alichapisha gazeti hilo bila ya kuwasilisha hati ya sheria ya kiapo kwa Msajili wa Magazeti.

Chanzo: IPP Media
Zanzibar ni nchi kamili insa serikali na rais kwanini serikali ya Zanzibar ambako wanakochochewa wasifungue shitaka? Huku bara hatuichagui serikali ya Zanzibar.
 
Je,kuna athari zozote kwa taifa letu kama Lissu akiendelea kubaki huko ambako Samatta inadaiwa huwa anajituma zaidi akiwa na klabu yake?.Nauliza tu maana hii spidi ya kutaka arudi ni kiboko.
Mh Hakimu anasema hataki siasa: "Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee".

Ndugai: Sijui Lissu alipo, namvua ubunge
Rais: Ametelekeza jimbo
Hakimu: Sitaki siasa, aje kesi iendelee

====

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemwagiza mdhamini Ibrahim Ahmed wa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.

Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kumtaka afike mahakamani Desemba 19, mwaka huu kusikiliza kesi yake.

Mahakama hiyo imesema kwa kuwa mdhamini ameieleza mahakama kwamba Lissu amepona, afike mahakamani siku iliyotajwa ili kesi iweze kuendelea.

Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kumhoji mdhamini.

Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano ya hakimu na mdhamini:

Hakimu: Mdhamini wa mshtakiwa, Lissu yuko wapi?

Mdhamini: Mheshimiwa hakimu Lissu amepona, lakini amekataa kuja kwa sababu anahofia usalama wake.

Hakimu: Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee.

Alisema kesi hiyo itatajwa Desemba 19, mwaka na Lissu anatakiwa afike mahakamani siku hiyo.

Mapema mahakama hiyo iliagiza wadhamini wa Lissu kupeleka taarifa jana kuhusu mshtakiwa huyo.

Mbali na Lissu washtakiwa wengine ni, wahariri Simon Mkina, Jabir Idrisa na mchapishaji wa Kampuni ya Jamana, Ismail Mehbooh.

Kwa pamoja washtakiwa hao, wanakabiliwa na mashtaka matano ikiwamo kuandika habari za uchochezi kinyume na Sheria ya Magazeti ya mwaka 2002.

Ilidaiwa kuwa kati ya Januari 12 hadi 14, 2016 jijini Dar es Salaam, washtakiwa Jabir, Mkina na Lissu, waliandika na kuchapisha taarifa za uchochezi zenye kichwa cha habari kisemacho, 'Machafuko yaja Zanzibar.'

Katika shtaka la pili wanadaiwa kuwa Januari 14, 2016 walichapisha habari hizo ili kuleta chuki kwa wananchi wa Zanzibar.

Mshtakiwa Mehboob anadaiwa kuwa Januari 13, 2016 katika jengo la Jamana lililopo Manispaa ya Ilala, alichapisha gazeti la Mawio lililokuwa na taarifa za uchochezi.

Ilidaiwa kuwa mshtakiwa huyo pia alichapisha gazeti hilo bila ya kuwasilisha hati ya sheria ya kiapo kwa Msajili wa Magazeti.

Chanzo: IPP Media
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom