siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

    Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran. Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira . Tupeane updates ***** UPDATE Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
  2. Siasa ndo inaendesha maisha. Kubali ukatae huu ndio ukweli

    Wanajamvi habari za muda huu? Naamini mko salama. Leo nimeona nije na mada hii kwamba siasa ndo inarun maisha kwa kuwa kila tunapobadilisha viongozi wa kisiasa kila kitu kinabadilika. kwa hiyo kwa uelewa wangu siasa ndo kila kitu. Kwanza ukiangalia mifumo ya maisha wanasiasa ndio wanaobuni...
  3. Wakati zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura,Sioni vyama vya siasa na vya wafanyakazi Vikihamaisha watu wao

    Huu ni mwaka wa uchaguzi lakini pia tume ya taifa ya uchaguzi ipo katika zoezi la uboreshaji wa daftari la Wapiga kura .Wakati zoezi hilo likiendelea vyama vya siasa vipo kimya na vyama vya wafanyakazi navyo vipo kimya. Vyama vya wafanyakazi vinawajibu wa kuhamasisha wanachama wao...
  4. Uchumi Bila siasa ya vyama vingi

    Hakuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money katika shughuli za kampeni badala ya kuziwekeza katika kukuza uchumi na Pato la taifa, itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa na Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe tuachane na mfumo wa...
  5. S

    Msanii tajiri jiingize kwenye siasa pale uwezo wako unaposhuka kama ambavyo wanasoka maarufu huhamia ligi za Uarabuni au Asia kumalizia soka lao

    Wewe kama ni msanii mwenye mafanikio makubwa na uliepata utajiri au fedha nyingi kupitia fani yako, kamwe usijingize kwenye siasa wakati bado uko kwenye chati, bali fanya hivyo pale amapo umri unapokutupa mkono kutumikia fani yako, au pale kiwango chako kinapoanza kuporomoko kwa maana ya uwezo...
  6. Tuache siasa, tuwekeze kwenye kilimo then viwanda then ndege

    Naomba nitoe ushuhuda kidogo. Mimi ni moja ya watu ambao najaribu kuwekeza kwenye kilimo ila naleta ushuhuda ili liwe somo kwa serikali na wananchi kwa ujumla. Maka jana nililima ekari 20 za mahindi mkoa wa Rukwa na nilipovuna mwezi wa 7 mwaka jana nilipata gunia 350 nikaweka store maana...
  7. Dr. Bashiru Ally: CCM ni chama kinachoongoza kufanya siasa safi za kiungwana na kiustaarabu kitashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu

    CCM YAAHIDI KUENDELEA KUHESHIMU MAAMUZI YA UMMA 02 Januari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za uchaguzi, ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maamuzi ya Umma kama ilivyofanya mwaka 2019...
  8. Nawatikia heri ya mwaka mpya 2020

    Najua mmenimiss kiasi kwa kuwa sijapost sana hasa hasa miezi ya mwisho wa mwaka 2019. Napenda kuwaambia nawapenda sana wanajukwaa wenzangu. Bado nipo Gado sana representing Team Magufuli kisayansi ...naamini mnanielewa sana moyoni ila huwa mnanipinga hadharani. Bado nitaendelea kuwaletea...
  9. Siasa za Nyimbo: Maisha ya kuboresha ndani ya uoga asilimia 100

    Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani. Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi mkubwa sana hapo ndipo episode za movie huishia tukutane kwenye movie nyingine. Hongera Kayumba huu...
  10. B

    Siasa ya uhai: Usalama wa Maji na Miundo mbinu yake Dar.

    Wanajanvi, nimekuwa nikipitia na kusoma mengi juu ya usalama wa nchi na afya za raia wake. Naomba nifanye declaration of interest "Mimi ni muoga sana wa ugaidi" Nianzie Napa, Car esalaamu inategemea maji ya Ruvu juu na Ruvu Chini. Ruvu juu ikuhudumu sehemu ndogo kulinganisha na ruvu chini...
  11. Ali Hassan Mwinyi na Khamis Kagasheki waliingia katika siasa kwa bahati mbaya...

    Ninavyowaona hawa wazee hawapendi kabisa watu kuonewa .hawapendi dhuluma .ila hamna siasa isiyokuwa na dhuluma.Ndio maana Mzee mwinyi alijiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani baada ya kuona dhuluma na mauaji yalifanywa na polisi wasio na maadili. Na aliweka wazi kabisa ni polisi ambao walikiuka...
  12. 2020 mwaka wa vilio majonzi katika historia ya siasa naomba Mungu atupiganie

    Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba. Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi. Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe...
  13. J

    Chadema na ACT Wazalendo wanaweza kutumika na wabobezi wa siasa kali

    Hivi vyama viwili kila kimoja kimeelekea zaidi upande fulani tofauti na kingine jambo ambalo ni hatari kwa umoja wa kitaifa. Nimejaribu kuangalia uongozi wao wa juu na kamati kuu za vyama hivi viwili sijaona uwiano kabisa ni kama vile vyama vya uarabuni au nchi za Scandinavia. Nawashauri...
  14. F

    Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

    Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo ! Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa! Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa! Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
  15. Kuachana na Siasa nakuja kivingine kupitia Vitabu nilivyosoma 2019: ntawalisha maarifa

    Nimesoma vitabu 17 Mwaka 2019 nimepata maarifa kadhaa tutagawana hapa na kuelekezana kistaarabu 1.The Black mass-John le Carré: huyu mwandishi anaelezea kwamba kabla ya uvamizi Wa Iraq America walijua fika kwamba hakukuwa na Silaha za Nyukilia ndani ya Iraq ilikuwa ni mbinu ya america...
  16. GE2020 Viongozi wa dini na siasa za Tanzania

    Viongozi wa dini katika nchi yetu tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa 2020. Wanasiasa wameshaanza kujipitisha pitisha kwenye nyumba za ibada na kujifanya ni watu wema Sana na kwamba huu ni wakati wa kuwa wamoja na kuongeza upendo. Inasikitisha kuona kwamba kwa kipindi Cha miaka minne taifa...
  17. S

    Inawezekana siasa za nchi hii ndio somo gumu kwa watanzania kuliko hata Hesabu(Mathematics)

    Katika nchi yetu na pengine duniani kote,hesabu ndio somo linalotajwa kuwa gumu(wengi wanashindwa kulielewa) kuliko masomo mengine mengi, ila binafsi naona kwa nchi yetu siasa za nchi hii ndio somo gumu zaidi kueleweka kwa watanzania walio wengi. Inawezekana kabisa hata wale ambao ni...
  18. Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

    Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa, Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa, Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi Nayakumbuka Matukio 1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za...
  19. Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
  20. Maajabu ya Tanzania, siasa halali za vyama vya upinzani kuhesabika kama uhalifu wa makosa ya jinai!

    Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…