Siasa za Nyimbo: Maisha ya kuboresha ndani ya uoga asilimia 100

Semeni People

Member
Dec 26, 2019
35
16
Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani.

Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi mkubwa sana hapo ndipo episode za movie huishia tukutane kwenye movie nyingine.

Hongera Kayumba huu wimbo unaingia makumbusho nextime tutaomba mapenzi ya kioo yatumike kuboresha maisha ya Mtanzania.

Kudos

 
Back
Top Bottom