johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,975
Hivi vyama viwili kila kimoja kimeelekea zaidi upande fulani tofauti na kingine jambo ambalo ni hatari kwa umoja wa kitaifa.
Nimejaribu kuangalia uongozi wao wa juu na kamati kuu za vyama hivi viwili sijaona uwiano kabisa ni kama vile vyama vya uarabuni au nchi za Scandinavia.
Nawashauri wakongwe wa siasa za upinzani Mh Mbowe na mwenzie Zitto waige utaratibu wa CCM ambao umeweka hadi zamu za kuongoza kwa mamlaka ya juu kabisa kwa usawa kwa kila upande.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!