Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,125
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

KWELI CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI NI KIBOKO!
 
Huwa tunasema, ni wanaccm wachache sana wanaweza kufanya siasa za kweli na ushawishi wa hoja nje ya vyombo vya dola. Huyo Mwigulu niliwahi kumwambia analeta nyodo na majigambo kwakuwa yuko kwenye madaraka na ana nafasi ya kuyatumia atakavyo, ila siku akitoka hapo atakuwa mtori tu. Sasa hivi naona hata uvivu kumuuliza anipe mrejesho wa nguvu alizokuwa anadhani anazo. Kama mpaka hiyo timu ya Singida United imefikia kudhalilika basi kazi ipo.
 
Ila nachofurahi watu kama Nape,Makamba na kinana wanasoma namba,maamuzi yao yalitugharimu sana na kututusi kumbe maamuzi waliyokuwa wanafanya hawakujua ipo itawagharimu wao wenyewe.

Nape alizima bunge live , makamba jr alileta sheria za cyber ,leo hii wanaisoma namba .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati ule wa mabomu ya Arusha watu wamekufa anajibu kwa matusi , leo hii hata yeye akileta mdomo wanamteka
Huwa tunasema, ni wanaccm wachache sana wanaweza kufanya siasa za kweli na ushawishi wa hoja nje ya vyombo vya dola. Huyo Mwigulu niliwahi kumwambia analeta nyodo na majigambo kwakuwa yuko kwenye madaraka na ana nafasi ya kuyatumia atakavyo, ila siku akitoka hapo atakuwa mtori tu. Sasa hivi naona hata uvivu kumuuliza anipe mrejesho wa nguvu alizokuwa anadhani anazo. Kama mpaka hiyo timu ya Singida United imefikia kudhalilika basi kazi ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwisho ulivyowapata akina nape, january, mwigulu na wenginewo, Hata hao wanaotamba kwa sasa mwisho wao utafika mda si mrefu.

Principle ya dunia, hakuna anayedumu milele walikuwepo akina mao ze don, adolf hitler na wenginewo wengi. Leo hii hawapo sidhani kama hata vizazi vyao vinavuma kwa mfano wa kwao.

Principle ya dunia hii Mheshimu kila unayemwona, kwa maa sote tulipita njia moja kuja duniani kupitia mama mbalimbali, Ila hatutarudi wote kupitia njia hizo hizo, sote ni mavumbi tu.

'Hakuna marefu yasiyo na ncha'

Muwe na siku njema.

Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

KWELI CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI NI KIBOKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Huwa tunasema, ni wanaccm wachache sana wanaweza kufanya siasa za kweli na ushawishi wa hoja nje ya vyombo vya dola....."
Wapo wengi sana, tatizo ni kwamba wapinzani wanaamini zaidi kuwa CCM inatumia sana dola kuendeleza ufalme wake. Ila ukweli ni kwamba kuna wana CCM wengi ni Wazalendo na wapenda nchi kushinda maelfu ya viongozi wa upinzani
 
Kama wangekuwa wengi hivyo usemavyo tungeona uwanja sawa wa ushindani. Lakini kwakuwa ni wachache wenye uwezo inabidi kuwe na matumizi makubwa ya vyombo vya dola ili kuwabeba wenye uwezo duni.
 
Fasihi imetulia,wamekunywa damu na kula nyama za binadamu, wanaogopa vivuli vyao.
Hawana tena nyodo maana wakianikwa ukweli wao wanapelekwa Isanga Condemn kusubiri saini ya Mzee Baba.Ndiyo maana hawafurukuti.
Watanzania tudai Katiba ya wananchi,tutafute maridhiano na umoja ndipo tutashuhudia maendeleo ya watu+vitu kwa Taifa letu.Tuepuke kunyoosheana vidole kwa sababu hatutafika.
QUOTE="Fumadilu Kalimanzila, post: 33893945, member: 403090"]
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

KWELI CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI NI KIBOKO!
[/QUOTE]
 
Wapo wengi sana, tatizo ni kwamba wapinzani wanaamini zaidi kuwa CCM inatumia sana dola kuendeleza ufalme wake. Ila ukweli ni kwamba kuna wana CCM wengi ni Wazalendo na wapenda nchi kushinda maelfu ya viongozi wa upinzani
Kama ni wengi si tungeona ya marekani kwa trump yakifanywa na bunge LA hapa,au tungeona busara yao kwenye bunge LA katiba
 
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

KWELI CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI NI KIBOKO!
The way ulivyoandika ni kama vile umekalia kitu chenye ncha kali mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu kama january acha aisome namba, maana ali-facilitate kwa nafasi kubwa kuanzishwa kwa sheria ya cybercrime.

hii sheria imewaponza vijana wengi sana na inaendelea kufanya hivyo kila iitwapo leo.

naona siku hizi amegeuka motivational speaker kule twitter, anatweet sana kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii. anatafuta huruma fulani ya kijamii(public sympathy)

tutaelewana tu kidogo kidogo, ngoja tuonyeshane makali(kwa sauti ya dr. shika)

Back
Top Bottom