siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

    Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena? Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
  2. JamiiForums Tanzania Suala la Mishahara ya wafanyakazi wa serikali: Tuzungumze mazuri na mapungufu katika suala hili nyeti, tuweke siasa pembeni

    Naomba kwanza suala mishahara ya watumishi wa serikali lieleweke tu kuwa si la kulichukulia mzaha mzaha na kulibeba tu kuhamia nalo majukwaani! Kuna mambo makubwa matatu hapa yamejitokeza tuyachambue kwanza: Annual increment: suala hili namlaumu President Magufuli kwa kuwa amelichukulia mzaha...
  3. JamiiForums Tanzania Nikizithibitisha tu hizi 'Njama' nilizotaarifiwa kufanywa na Chama 'fulani' natangaza rasmi Kuachana 'Kukishabikia' na 'Siasa' za Tanzania

    Mpaka Saa Tatu (3) ya leo GENTAMYCINE nitakuwa nimeshapata 'Uthibitisho' wa 'Njama' za Kipumbavu (Kijuha) ambazo 'nimedokezwa' kuwa zinafanywa na Chama changu 'Shabiki' kabisa nchini Tanzania. Taarifa nilizozipata ni kwamba Chama changu 'Shabiki' hicho kupitia 'Watendaji' wake kinazunguka Usiku...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Wakenya hawatapigana tena sababu ya siasa, wajinga hawapo tena

    Naibu rais William Ruto amesema kwamba Kenya haitashuhudia machafuko tena kwa sababu ya siasa kama ilivyokuwa mwaka 2007. Akihutumbia mkutano wa hadhara mjini Kisii siku ya Alhamisi, Ruto alisema kwamba baadhi ya wanasiasa walikuwa wakitumia vitisho kudai kwamba huenda kukazuka machafuko mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Wauza madini mnamjua dalali wa gems anaitwa Siasa?

    Umuofia kwenu. Wadau wa sekta ya madini hususani mikoa ya pwani Kuna mwamba mmoja muongeaji Sana anaitwa siasa. Ni mtu wa mawe hasa gems nataka kufanya nae biashara Fulani huwa sometimes anakuwa na gems kibao na anatembea nazo Sasa naomba kufahamu uhalali wa hii biznes na usalama wa mtaji...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuipata " Haki" kwenye Siasa duniani kote. Siasa inatoa Amani, Haki hutoka kwa Mungu

    CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wanahoji kwanini viongozi wa serikali hawapendi kutamka neno " Haki" na badala yake wamekuwa wakitamka Amani wakati wote. Mimi nawauliza Mbowe, Zitto na Prof. Lipumba ndani ya vyama vyao wanahubiri haki? Na je vyama vyao vinatoa na kutenda haki? Na je madaraka...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

    Nikianza na Kikwete, huyu mambo yote yalimvurugikia mwaka 2015 kutokana na kutokujiamini na uoga wake dhidi ya Lowassa, akaboronga na kupeleka nchi kushoto kwa kucheza kamari ya hatari sana na kumpa nchi mtu asiyestahili, katili na mwenye visasi vya hovyo sana ambavyo havijawahi kutokea kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za kuegemea Ukabila, Dini na Ukanda ni tatizo linalokuja

    Katika kampeni zinazoendelea, tumeona sasa hata nyinbo za kisukuma zinatumika kueneza sera za chama. Kwa nini wa-TZ wanaanza kuona lugha za kienyeji ni muhimu kuliko ujumbe wa kitaifa? Je ni kufurahisha nafsi ya mkuu wa nchi bila kujali umma unaotawaliwa? Si mara ya kwanza. Kuna wakati...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Viongozi wa Vini kwanini wanamdhihaki Mungu kwenye mikutano ya Kisiasa?

    Ninaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hawa Viongozi wa Dini ambao huongoza dua na maombi kwenye mikutano ya kisiasa. Ninachojua mimi ni kwamba, hawa ni viongozi wanaoongoza waumini wenye itikadi tofauti ndani ya madhehebu yao, chaajabu ni kwamba ukisikiliza Sala na maombi yao unakuta badala ya kua...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Vyama vya Siasa kujua kama vina mvuto na vinapendwa na wananchi ni hivi hapa

    oi
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi za dini na siasa 100 mbioni kufutwa

    Na ASHA BANI -DAR ES SALAAM WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umezitaka bodi za wadhamini wa taasisi zaidi ya 100 ambazo hazijafanya marejesho ya wadhamini hadi kufikia Juni, mwaka huu kufanya hivyo mara moja kabla ya hatua kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria ikiwa ni pamoja na kuzifuta...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi za Vyama Vikuu vya Siasa

    Wanabodi salam! Ninaomba kwenye huu uzi tujadili kuhusu ilani za vyama vya upinzani hasa vile ambavyo tayari vimeshatoa ilani zao. CDM wao tayari wameshatoa ilani yao na sera yao kubwa ni UHURU HAKI NA MAENDELEO. ACT Wazalendo wao pia walizindua ilani yao jana yenye sera kubwa.ya "KAZI NA...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu za Siasa ni za wendawazimu wasiopenda nchi yao na watu wake

    Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kufanya vurugu za kisiasa, kupigana na kupoteza maisha kwa ajili ya mtu mmoja au wachache wapate wadhifa wa kula na kuishi vizuri zaidi. Upumbavu huu umefanyika nchi nyingi, lakini mfano mzuri ni Libya ambako wanajuta kumpindua Gaddafi. Yani wao wakae makwao...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yawezekana watanzania wanapenda zaidi kandanda kuliko Siasa, siyo kwa nyomi hii ya Yanga hapa Mkapa

    Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni. Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa? Maendeleo hayana vyama!
  16. JamiiForums Tanzania Wahenga Wa Siasa: Benjamin Mkapa, Yasser Arafat, Fidel Castro na Nelson Mandela. Hili tukio la pamoja lilitokea lini na wapi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu wahenga wa siasa za Tanzania/Afrika; Hivi vyuma vinne (Benjamin Mkapa, Yasser Arafat, Fidel Castro na Nelson Mandela) vilikutana...
  17. JamiiForums Tanzania Kuenguliwa kwa wagombea kuwe funzo kwa Vyama vya Siasa

    Nimewasikia Viongozi wa vyama vya Siasa wakipaza sauti na kuwahamasisha wananchi waandamane nchi nzima kupinga kuenguliwa Kwa wagombea wao. Unawezaje kumconvince MTU akampambanie MTU ambaye sio chaguo lake? Zamani wananchi ndio walikua wanawaomba watu wakawawakilishe kutokana na mahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani kwenye kampeni wazunguke na vijijini, vinginevyo Urais watausikia na kuhisi wanaibiwa kura

    Mimi ni Mwananchi niishie Dodoma katika walaya ya Mpwapwa, nakaa kijijini naweza kupaita porini kabisa. Tumeishi miaka yote bila huduma muhimu kama maji na umeme ambapo maji tumekuwa tukiyapata mbali visimani. Tangu aingie madarakani JPM ameweza kusimamia vizuri ambapo umeme pamoja na maji vipo...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tujifunze kufanya siasa za kistaarabu bila kukomoana

    Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana. Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuzuia mikutano kwa miaka 5 kumeleta CCM kuwa butu kwenye Siasa

    Mimi kama Mtanzania nashangazwa na viongozi wa CCM wa kisasa kuwa butu kiasi hiki. Wakati wa Kinana walikuwa wazuri kujibu hoja, kuongea na wananchi na kupiga kampeni. Ukiangalia vizuri viongozi wa CCM ni kama wamezubaa ukilinganisha na Lissu, Membe, Zitto au Lipumba. Hii ni kwa sababu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…