siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

    Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta...
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni ya chanjo ya COVID-19 ya Moderna yakadiria mauzo ya Tsh. Trilioni 41.7

    Kampuni ya Chanjo ya #COVID19 ya Marekani, Moderna imekadiria kuwa na mauzo ya Dola za kimarekani bilioni 18.4 sawa na Takribani Tsh. Trilioni 41.8 kwa mwaka 2021 Fedha hizi ni zaidi ya zile zilizokadiriwa awali ambazo ilikuwa Dola Bilioni 11.2 sawa na Tsh Trilioni 25.97. Mauzo haya makubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi wa Afrika kuwatumia Wananchi wao Masikini kama turufu yao Kisiasa Wakihutubia ndiyo Siasa bora, Uadilifu na Maendeleo?

    Na Kinachoniuma kama siyo Kunisikitisha hata hao Masikini wenyewe (ama kwa Kujua au Kutokujua) wakiwa wanatajwa katika Mikutano ya Hadhara ya Viongozi wa Kiafrika (Afrika) kuwa ni Masikini na Wasibughudhiwe hufurahia kweli kweli. Nijuavyo kwa Kiongozi mchapakazi, makini na anayejitambua kamwe...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  5. JamiiForums Tanzania Utendaji mzuri wa Serkali ya awamu ya tano umebadili siasa za Tanzania

    Kwa ujumla sitaki kujikita zaidi kuelezea juu ya namna gani utendaji kazi mzuri wa serikali ya awamu ya tano umeweza kuleta mabadiliko katika ukusanyaji mapato, kudhibiti mianya ya rushwa na kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma. Najua kila mtu anajua kuwa watu waligeuka michwa ya kutafuna...
  6. JamiiForums Tanzania Seif Sharif Hamad ni siasa na historia ya Zanzibar

    Hili ni uhakika, haiwezekani kueleza siasa za Zanzibar na mabadiliko ya kizazi kwa kizazi pasipo kuwa na kurasa nyingi za kufafanua na kuchambua uhusika wa Seif Sharif Hamad. Na huwezi kuitaja historia ya Zanzibar na nyakati zake bila jina la Seif. Kwa miongo minne, Seif aliweza kujitengeneza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

    Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two. Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu...
  8. JamiiForums Tanzania Addo Shaibu punguza majivuno, wewe bado ni kijana katika siasa

    Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni.. Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa. Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New Multi-Billion Roads Breathing Life into Quiet Kenyan Towns

    Kenya's little-known towns are turning into business hubs with accelerated infrastructure development by the government over the past years. According to the Kenya National Highways Authority (KeNHA), there are 40 ongoing road projects in the country under the agency. All these projects...
  10. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Vijana waaswa kwenda kujifunza Maadili na Uzalendo katika Chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere

    Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao. Walizungumza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao. Cha kushangaza badala ya kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya haya matatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa acha iitwe siasa: Ukiinuliwa na Mungu daima utabaki kuwa juu lakini ukiinuliwa na mwanadamu ipo siku atakushusha chini

    Video inajieleza
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mazingira na siasa za kuchimba mchanga jimbo la Kawe

    Hivi karibuni waziri wa mazingira akifuatana na mbunge wa jimbo la Kawe na Viongozi wengine wa wilaya ya Kinondoni walifanya mkutano na wadau kuhusiana na kuchimba mchanga kutoka vyanzo mbalimbali vya mito jimboni humo. Sababu ya kuitiswa mkutano huo ni malalamiko ya wenye magari ya kubeba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Februari 16: Tarehe isiyosahaulika katika siasa za Tanzania

    Inaaminika kuwa mwezi wa pili (Februari) ni mwezi wa mtu mweusi, Mwafrika. Ilianzia huko Marekani na sasa ni dunia nzima. Pia huu ndio mwezi wa upendo ukiwa na Valentine's Day yaani Februari 14. Jumamosi ijayo. Hata hivyo kwa namna ya pekee, mwezi huu hauwezi kuwa na utukufu kwa Watanzania hasa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

    Paranoia ni nini? Angalia jinsi dictionary moja ilivyoeleza maana yake; Paranoia: hali/ugonjwa wa akili unaomfanya mtu awe na hofu isiyo ya kweli ya kusulubiwa na watu wengine. Humfanya mtu awe na silka za kupita kiasi katika kutokuwa na usawaziko wa kuona mambo, kufikiri watu hawampendi...
  16. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Here's Archbishop Harrison Ng'ang'a prophecy to Kikuyus

    HERE'S ARCHBISHOP HARRISON NG'ANG'A PROPHECY "Currently, the best businesses are owned by Kikuyus. The biggest churches, best cars, most successful and educated people, and even the president, are from our land. It rains more in Mt Kenya region than in any other place But, if you don't change...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ujenzi wa Viwanda: TRA na Wizara ya Viwanda ni watuhumiwa wa kwanza

    Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44. Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa kutunga na kutekeleza na kusimamia sera za kujenga uchumi wa viwanda ili kutuondoa katika dimbwi la...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote

    Mbunge wa Kawe mh askofu Gwajima amesema siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote na amewataka wanasiasa kuwatendea haki wananchi. Gwajima alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari katika sherehe za maazimisho ya miaka 44 ya kuzaliwa CCM Mabwepande nje...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Walioacha Ualimu na kukimbilia Siasa au shule binafsi nao wasakwe

    Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi. Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini...
  20. JamiiForums Tanzania Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

    Mambo vp JamiiForums. Ninapoandika hoja hii, ninaomba ifahamike kuwa i have nothing personal with mzee Kimei na ninatambua kuwa yeye ni moja katika ya hazina kubwa ambazo taifa hili linazo katika masuala mazima ya uchumi na banking. Watu walikuwa wanapenda sana kumshambulia kaka yangu Pascal...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…