Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe.
Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania.
Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete.
Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake...
Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani?
Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
Kuna vitu hapo awali nilikuwa sielewi kabisa, kuna wakati wanasiasa halisia walikuwa wanakosea kabisa na hata mtoto ukimuuliza anakwambia kuwa hilo ni kosa lakini wanasiasa wa mtandao walikuwa wanalipongeza sana.
Wakati mwingine uliweza kuona hali ya siasa za upinzani zinapita katika shida na...
Wakati wa kampeni mpaka uchaguzi nchini Tanzania wanasiasa wa upinzani walikuwa wanalia faulo za hapa na pale na ilifika mahali hata mitandao ya kijamii kupungua uwezo.
Haya hapo jirani kwa mzee anayetaka kuvunja rekodi kufika miaka 100 akiwa madarakani mu7 anafanya yake.
Huyu ni mgombea...
Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona mbali au ana maono ambayo ni zaidi ya siasa, je kumudu biashara zake na kutohusisha na siasa...
Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki.
Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis...
Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka iliyomchukiza Mungu wakati Abel alitoa sadaka infaayo Mungu. Matokeo yake Sauli hakulia na kumshutumu...
Kijana kutoka Chadema ndugu Godlisten Malisa ameamua kuacha siasa za pingapinga na badala yake ameamua kufanya kazi ya Mungu, kuwasaidia wenye uhitaji.
Japokuwa hamna hata siku moja amewahi kutoka hadharani na kumpongeza rais JPM kwa ushindi na jitihada zake za kuinua maisha ya watanzania lkn...
MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano.
Akiwa kwenye ziara yake katika Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba jana amesema, mivutano ya kisiasa imekuwa ikiathiri ustawi wa Zanzibar.
“Sisi sote tuna maslahi mapana na...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bwana Gelasius Byakanwa atoa mwezi 1 kila mwananchi mkoani humo ahakikishe anamiliki shamba la Mikorosho, vinginevyo serikali itawachukulia hatua za kisheria.
Taarifa: ITVTanzania
JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea).
Katika waraka wake wa Kheri ya Mwaka Mpya 2021, alioutoa kwa wanachama wa chama hicho na Watanzania amesema, Taifa limeingia...
Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele.
Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache.
Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.
Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam.
Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma...
Siasa za Kiafrika zimejaa hila uhuni mauwaji jinai utekaji hujuma wizi na kila aina ya uovu.
Yaliyotokea Tanzania ndio yanatokea Uganda kwa Museveni.
Somo la historia tunalofundishwa kuwalaani wazungu na ukoloni wao kwetu inabidi tubadili mtaala wake kwasababu viongozi wa Afrika wa sasa ni...
Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu Mwamakula, Shehe alhad Salum, askofu Gwajima nk nk hiyo ndio inakuwa forum yao ya kuongelea badala ya...
Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z.
Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni.
Alipoibua ufisadi wa Singasinga Chavda juu ya mashamba ya mkonge aliyoyapata kwa ufisadi, alijikuta anapewa...
Hope kila mmoja ameshiba pilau.
Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira ya ualimu mwaka huu(alikuwa mzigo), But alipangiwa mkoa wa mbali sana na tulipo hivyo baada ya...
Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.
Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.