siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Siasa za mimi Vs wengine sisi Vs wao na hatma ya nchi yetu

    Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote. Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Siasa za Muhindi na maendeleo ya Afrika? Tujiendeleze kikwetu kwetu

    Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi Wahindi Wahindi yawezekana mnapenda Sana kutafsiriwa... Wazee wa kutekeleza story mpo. Zilikuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fukuto jipya ndani ya CCM: Kuna zaidi ya tujuayo

    Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...! Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!! Hapo...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ipi ni alama ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania? Dkt. Slaa ametufunza kupinga ufisadi,je huyu mwamba?

    Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania? Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dkt. Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba...
  6. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Jinsi muelekeo wa siasa zetu unavyoua uwezo wetu wa kufikiri na hatari iliyopo mbele yetu kama taifa

    Kwa mujibu wa mfumo wetu, Wanasiasa ndio viongozi wa nchi ambapo kiongozi ndio hutoa muelekeo wa wapi pa kwenda au kutokwenda na ili iweje. Kwa mantiki hiyo, ili kupunguza ‘chances’ za kupotea, ni jambo la muhimu sana wanasiasa wetu wawe na uwezo mkubwa sana wa kufikiri. Uwezo mkubwa wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa acheni kulia lia fursa kamili ya mabadiliko ni sasa

    Yote ni dhahiri mno na tunayaona kote bungeni na hata serikalini: "Dhuluma dhidi yetu haziwezi kuachwa ziondoke zenyewe au kuachiwa mtu aje na huruma zake kuziondoa au kuachiwa kudra zake mola." Tumefikishwa hapa kwa sababu ya unyonge wetu, woga wetu, ujinga wetu, hofu zetu, utengamano wetu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kisarawe: Kamati ya siasa ya wilaya yachachamaa tsh milioni 56 kujenga matundu ya choo kifisadi

    Kamati ya siasa wilaya ya Kisarawe wamemtaka mkurugenzi wa halmashauri kutoa uthibitisho wa namna walivyotumia tsh 56 milioni kujenga matundu machache ya vyoo tena chini ya kiwango Wajumbe wa kamati hiyo wamesema halmashauri ya Mkuranga imejenga matundu ya vyoo kama hayo na kwa ramani hiyo hiyo...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Kusiwe na upendeleo wala uonevu kwenye uwanja wa siasa

    Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amesema Baraza Kuu la Chama hicho limetoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Uongozi wake kuheshimu Sheria zinazoruhusu kufanyika mikutano ya hadhara na maandamano halali Chama hicho kimeutaka Uongozi huo kuheshimu Sheria za Nchi ikiwa ni pamoja na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

    Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia...
  11. winnerian

    JamiiForums Tanzania Siasa za "wafu" na "vipofu" zikikoma tunaweza kujiuliza maswali kama haya

    "Je! Unafikiri China inasubiri kuwekeza katika miundombinu yake ya dijiti au utafiti na maendeleo? Ninawaahidi, hawasubiri," Bwana Biden alisema katika hotuba yake Jumatano. Bwana Biden alisema Uchina na ulimwengu wote "wanakimbia mbele yetu katika uwekezaji walionao siku za usoni". "Do you...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  13. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kifuatacho baada ya Magufuli!

    KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa. Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
  14. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

    Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi. Katiba yetu iko wazi jinsi...
  15. Mtu Mzima

    JamiiForums Tanzania Yasemwayo na hali hali halisi: uchumi awamu za Utawala Tanzania

    Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede. Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni hasi inayoendelea hivi sasa hebu tupitie kumbukumbu na takwimu tangu uhuru kisha ndio turudi kwenye...
  16. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Freemasons na illuminant

    Hiki ni kitabu chenye siri nzito za Freemasons na Illuminant Ni mpango wa Shetani kuangamiza sheria ya Mungu tangu mwanzo. Shetani amekuwa akifanya vita dhidi ya amri 10 za Mungu ambazo ndicho kipimo pekee cha utii kwa Mungu. Katika vita hiyo, Shetani amekuwa akitumia mawakala wa aina...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kabla siku hazijaenda sana: Bunge litunge sheria vyama vya siasa kutopiga kampeni kabla ya uchaguzi

    Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi. 1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao. 2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao. Tuwe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee nilichojifunza leo katika Siasa za Tanzania ni kwamba...

    Unaweza kudhani uliyenae (tena Msaidizi wako) anakuunga mkono katika Maamuzi yako ya Kipuuzi kumbe Yeye Moyoni mwake si anakusanifu bali pia anakuona bonge la Juha. Pia nimegundua ya kwamba Watu wa karibu (Wasaidizi) wa Siasa za Tanzania wakawa na Mawazo mazuri ya Kujenga na Kuisaidia Tanzania...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki zinazikwa rasmi wafuatao wajiongeze la sivyo basi la maridhiano litawaacha

    1. Heri James 2. Ole SABAYA 3. Jery Muro 4. Ali Hapi 5. Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya 6. Cipirian Msiba 7. Makonda 8. Mbunge Msukuma 9Spika NDUGAI Enzi za jiwe hawa jamaa walikuwa na siasa za chuki kweli
Back
Top Bottom