shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM. Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka...
  2. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Oilver Semguruka Atatua Tatizo la Ukosefu wa Maji Shuleni

    MHESHIMIWA OLIVER ATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MAJI SHULENI 🏷️Leo Tar 22 September, 2023 Mhe Oliver Daniel Semuguruka (Mbunge Viti maalum Mkoa wa Kagera) alikuwa Mgeni rasmi katika mahafali ya shule ya Msingi Mgeza Mseto Bukoba Mjini, ambayo shule hiyo ni ya watoto wenye MAHITAJI MAALUMU. 🏷️...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UNESCO: Watoto milioni 250 ulimwenguni hawahudhurii shuleni

    Idadi ya watoto wanaokosa elimu yoyote imeongezeka kwa milioni sita, na kufikisha jumla ya watoto milioni 250, kulingana na takwimu mpya zilizotolewa Jumatatu na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO). Ongezeko hilo kwa kiasi fulani linatokana na kutengwa kwa wingi...
  5. ephen_

    JamiiForums Tanzania Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

    Habari wanaJf! Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kagera Mtukula: Wanafunzi wanatumia kifaru cha jeshi kwenye michezo Shuleni

    Niko Missenyi/Mutukula Nchini Tanzania. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula. Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa. Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho? Hii ni An...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Unguja avamia shuleni kusaka simu na shisha kwa wanafunzi

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu. DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabasi ya shule

    Kipindi ambacho watoto wanatoka shuleni wakiwa katika mabasi yao kuelekea nyumbani tunawatengenezea mfumo wa kuwaweka bize kuangalia katuni au sinema zinazowafurahisha wakati huo zinawapa maadili ya msingi kabisa katika Maisha yao, pia kuwaonesha madhara ya baadhi ya vitendo ambavyo vinaleta...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
  12. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi Mchakamchaka bado upo shuleni au ndio basi tena?

    Tuna watoto mandazi sana siku hizi, hata Michezo imepungua ya kumjenga mtoto kiakili kwanini mambo machafu yasipate nafasi. kuna maana kubwa ya kuwepo michezo tofauti tofauti katika maisha yetu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewezesha wasichana zaidi ya 6,000 kurejea shuleni

    Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP) umefanikiwa kusajili wasichana 3,616 kwa mwaka 2023 na 3,333 kwa mwaka 2022 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21. Wasichana hawa wanatarajia kurudi shule kuendelea na elimu ya sekondari baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  16. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

    GEITA. Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita. Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake. Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yazindua msako wa LGBTQ Shuleni

    Wizara ya Elimu nchini Kenya imeanzisha msako mkali dhidi ya kile ilichotaja kuwa kupenyezwa kwa ajenda ya LGBTQ shuleni. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu aliwaambia maseneta siku ya Alhamisi. ========== Kenya's education ministry has launched a crackdown on what it described as...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zawadi Mkweru: Elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ianzie shuleni

    Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii. Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
Back
Top Bottom