shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tukio gani ulifanya shuleni likakupatia umaarufu kipindi hicho

    Kwa wale wazee wa matukio shuleni ebu tupe tukio ambalo shuleni lilikupa umaarufu kipindi hicho ukiwa shuleni
  2. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Walimu waiomba Serikali kuruhusu wanafunzi wachapwe shuleni, wadai nidhamu imeshuka

    Baadhi ya walimu Nchini Kenya wanataka adhabu ya viboko kurudishwa shuleni, ili kuwaadhibu wanafunzi wasiokuwa na nidhamu. Adhabu ya viboko ilipigwa marufuku katika shule za Kenya mwaka 2001 na sheria inawalinda watoto dhidi ya manyanyaso ya aina yoyote. Lakini baadhi ya walimu wakuu wa shule...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki kwa kupigwa risasi shuleni, kisa kuzuia kuangalia mechi ya Man Utd

    Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022. Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa sekondari kutoruhusiwa kuwa na simu shuleni ni sahihi?

    Nimesoma uzi wa wanafunzi flani huko Singida wampata msala wa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kuchoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba la mwalimu huyo baada ya kumpa adhabu mwanafunzi mmoja aliyekutwa na simu. Mwanafunsi huyo ni wa sekondari, binafsi hata mimi siungi mkono...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye...
  6. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya afungwa jela kwa vifo vya moto shuleni

    Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
  7. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Saa 12 alfajri hadi saa 12 jioni, mtoto wa shule ya msingi anasoma nini kikubwa hivyo huko shuleni?

    Salamu kwenu ndugu. Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka. Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi. Hivi hasa ni...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia ya kwanza(USA) F shuleni Finaanzia 59 kushuka chini, sisi F inaanzia 29 kushuka chini

    kwakweli hili suala linafikirisha sana. Marekani high school alama F inaanzia 59 kushuka ambayo huku ni C ya kibabe sana. Huku F inaanzia 29, yaani mtu akipata 30 kafaulu. hata logic inakataa, mtu aliyepata chini ya nusu anakuwaje kapata!!? Nafikiri ubora wa wasomi wetu unaanzia hapa.
  9. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Sina nia ya kudanganya chochote ila kupitia kisa changu cha ukweli kilichonikuta mimi mwenyewe jaribu kuzijua nyendo na tabia za mwanao asije kuharibika ama kuharibiwa. Nilianza elimu ya msingi miaka ya 80 katikati ila nilianza kwa kuchelewa kwani kijiji chetu na vijiji jirani havikuwa na...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC kukamata wazazi, walezi wasiopeleka watoto shuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Alhaji Majdi Mwanga, ametishia kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka shuleni watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Mwanga alisema hayo mjini hapa katika mkutano wa hadhara na wananchi kuhusu...
  11. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ulifanya kosa gani mpaka ukapewa suspension shuleni?

    Siku hiyo kulikua na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliekua akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Nakataza Michango Mashuleni, asiyekuwa na Sare za Shule acha asome

    === Waziri wa TAMISEMI, Mhe Ummy Mwalimu amekemea utozaji wa michango mbalimbali kwa Wanafunzi Shuleni sanjari na vitendo vya baadhi ya Walimu kuwazuia Wanafunzi kuingia Shuleni kwa kukosa sare na mahitaji mengine yanayohitajika Shuleni hapo. Amesema vitendo hivyo havikubaliki na kwamba Walimu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi tokea Rais Samia aingie Madarakani ameshazungumzia na Kukemea Rushwa ya Ngono Shuleni, Vyuoni na Makazini?

    au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu? Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  15. mama D

    JamiiForums Tanzania Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Ada shuleni zimerudi?

    Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi. Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaana
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kesi za kusadikika shuleni

    KESI ZA KUSADIKIKA SHULENI Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kesi ya leo huko shuleni ndio imenifanya niandike uzi huu, yaani kesi zingine zinachekesha sana, nitaandika kama nazungumza mwenyewe huku natembea barabarani, wewe utachora mazingira ya Taikon nikiwa natembea pembezoni mwa barabara ya...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

    Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
Back
Top Bottom