Naombeni support yenu katika hili: Nimebuni shule ya kwanza ya mtandao, haitaji kufika shuleni tena, soma na fanya mitihani mtandaoni

Barackachess

Senior Member
Sep 1, 2018
156
121
SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA

Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net

NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE, MSIACHE KUNISHAURI NA KUNISEMA KAMA KUNASEHEMU NAKOSEA, PIA TUNAWEZA ONANA MOJA KWA MOJA KAMA UTAHITAJI KUONA NA MIMI KWA UFAFANUZI WA KINA NA USHAURI LAKINI PIA KWA AJILI YA USHAURI

Taasisi hii inatoa elimu kwa rika zote, makundi yote, rangi zote na imani zote kwa mafunzo yao yanafuata mtaala wa elimu inayomamiwa na wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.

Kiufupi wanatoa huduma zifuatazo:
1: Distance learning( live classes). Hapa watu husoma moja kwa moja kwa kumuona mwalim yaani audiovisual kuanzia saa mbili Hadi saa nne usiku. Wanafunzi waliosajiliwa wataweza kuuliza maswali na kujibiwa muda wa kipindi.

Gharama Yake ni Tsh 50,000/= kwa Mwezi Kujisajili ingia Sec Registration

2: Taifa online exams. Hii ni mitihani inayotolewa kila mwezi yenye muongozo mzuri kuanzia DARASA LA 4 hadi kidato cha sita. Mwanafunzi anafanya mtihani akiwa nyumbani au popote alipo kwa kutumia simu au kompyuta kwa usimamizi wa mzazi pia usimamizi madhubuti wa kisasa wa taasisi kwa kutumia hiyo simu na kompyuta yake.

Gharama yake ni TSH 1,000/= kwa somo, Kujisajili ingia TAIFA EXAM

3: Taifa online school library. Hapa mwanafunzi aliyesajiliwa atapata nakala (NOTES) na machapisho mbalimbali yaani nukuu (NOTES) za masomo yote. Pia mwanafunzi aliyesajiliwa atapa video za masomo yote husika. Mwanafunzi aliyesajiliwa atachagua kusoma nukuu au kuangalia video rekodiwa za nukuu (NOTES) husika.
Gharama ni TSH 0 yani BURE tembelea Taifa Secondary Online Library

4: Taifa online school tuition hii ni kwa wanafunzi wanaotaka kusoma tuition muda wa ziada pindi watokapo shuleni na nyakati za weekend pekee, Kwa siku za wiki (Jumatatu -Ijumaa) mwalimu atakuwa na kipindi na mwanafunzi kwa dakika 40 tu ili kumzuia kumchosha zaidi, Kwa siku za weekend (IJUMAA , JUMAMOSI, JUMAPILI) mwalimu atakuwa na kipindi na mwanafunzi cha Dakika 60 *Gharama ni * Tsh 10,000/= kwa somo la sayansi na Tsh 5,000/= kwa somo la Arts kwa mwezi kujisajili binyeza link hii (Maandishj haya ya Blue Tuition Registration

5: Kujifunza kiswahili kwa wageni. Hapa wageni wanajifunza lugha ya kiswahili popote walipo duniani kwa Gharama ya Tsh 800,000/= kwa vipindi 100, Kujisajili ingia Student Registration

6: Book analysis. Hapa mwanafunzi aliyesajiliwa atapata chambuzi za vitabu kwa njia ya maandishi na sauti. Mwanafunzi atachagua kusoma chambuzi za vitabu vya fasihi au kusikiliza sauti nzuri. Hapa Ni vitabu vya fasihi ya kiswahili na kiingereza yaani literature BURE PASIPO GHARAMA YOYOTE ingia Books Analysis

7: Taifa online school question and answer. Hapa mwanafunzi aliyesajiliwa atauliza swali na kujibiwa papo. Taasisi itamfahamisha mwanafunzi aliyesajiliwa kuwa mwalimu yupo kazini yaani yupo online uliza swali. Mwanafunzi aliyesajiliwa atauliza swali kwa njia ya sauti au maandishi ama video na kujibiwa muda huo huo BURE PASIPO NA GHARAMA YOYOTE ingia www.taifaschool.net

Pia tunatoa huduma zingine nyingi Kama online automatic quiz (Chemsha Bongo Ya Maswali Online Bure), learn English na events nk.

ZINGATIA: taasisi inafuatilia maendeleo ya wanafunzi wake na kutoa matokeo kwa wakati pia tunawatafutia wanafunzi vituo vizuri vya kufanyia mitihani yao ya NECTA, Usilipie huduma yoyote kupitia namba ya MPESA AU TIGO PESA AU MTANDAO WOWOTE WA SIMU PASIPO JINA LA TAIFA SCHOOL KUONEKANA, PIA USILIPIE HUDUMA KABLA UJAJIRIDHISHA NA HUDUMA KWA KUIONA. KWA WATEJA WA DAR ES SALAAM TUNASHAURI WAFIKE OFISINI MOJA KWA MOJA.

Ofisi Zetu Zinapatikana
Acacia Estates,
1st Floor (Ghorofa ya 1)
Plot no. 84, Kinondoni Road
P O Box 38568, Dar es Salaam

Tunapatikana kwa nambari ya ofisi +255 (0)22-219-8079 (LandLine) au Whatsapp Number +255(0)652 428 842

Tufuhatilie moja kwa moja kupitia ukurasa wa instagram: @taifaschool facebook Taifa Online International School
 
Mkuu, kazi nimeiona... Ni nzuri.. ningependa kuuliza

Je, mtu anaweza soma Online na akafanya mitihani ya NECTA na kuendelea na level za juu katika taasis za kiserikali?
 
Mkuu, kazi nimeiona... Ni nzuri.. ningependa kuuliza

Je, mtu anaweza soma Online na akafanya mitihani ya NECTA na kuendelea na level za juu katika taasis za kiserikali?
Yes kwa asilimia 100%

Kwa sasa hatujapewa leseni ya kuanza na fresh student (Wanafunzi fresh waliomaliza darasa la saba) na hii ni kwasababu tukimsajili kwetu itambidi afanye mtihani wa taifa pia ONLINE kitu ambacho baraza la mtihani na serikali yetu haikiruhusu kwa sasa japo mifumo iko salama kwa kufanya hivyo, Mfumo wetu hauna tofauti na ule unao fanywa na serikali ya sweeden katika mtihani wa taifa mtandaoni.

Tunachokifanya kwa sasa ni kwa wanafunzi wa QT na Resitors (Yani kama ulishawai kufanya mtihani form 2 au form 4 lakini ukashindwa kuendelea kwa sababu mbali mbali kama vile kufeli, changamoto za maisha etc basi utajisajili kwetu na kusoma mwaka mmoja form 1 &2 mwaka mmoja form 3&4 kisha tutakutafutia kituo ambacho utaenda kufanyia mtihani (Kilicho karibu nawe) njia hii hii tunaitumia pia kwa form 5 & 6
 
Jambo zuri ila kwa nape litakuwa gumu kuhusu bando
Tuko mbioni huduma hii kupatikana kwa 0MB kwa baadhi ya mitandao ya simu kabla ya mwezi wa 7, Hii itawezekana endapo tutakuwa na makubaliano sawia kwa pande zote mbili (Zipo platfom nyingine za elimu ambazo hazitumii Mbs kama vile SHULE DIRECT) Pia na sisi tunakuja huko
 
Umebuni au umecopy?on line courses sio kitu kigeni,kipo sana tu,zamani ilikuwa elimu kwa njia ya posta,sassla hv unaingia kwenye tovuti unajisajiri unafsnya masomo,na vyeti unpata,hata mburukenge Wa ccm wengi wanapata PHD zao za mchongo kutoka kwenye vyuo vya online huko dumiani
 
Embu nieleze kidogo
Yaani ni kuwa mtoto anaweza kuanza kwenu darasa la kwanza mpaka kidato cha sita ?

Je unahisi quality ya lugha ya kiingereza kwa mtoto huyo mliyeanza naye itakuwa vizuri kuliko yule anayeenda shuleni direct ?
 
Hongera sana Kiongozi kwa kazi nzuri kwa kuweza kuona mbali kwasababu tunapoelekea uko hakutakua na Physical School Studies
 
Nataka nijifunze kijerumani na Italian huduma hii ipo??

Hapana huduma hii hatunayo , Bado hatujapata wateja wengi wanaotaka kujifunza lugha hiyo, Tunatarajia kuanza na Madarasa ya kifaransa na kichina mwezi wa 5
 
A level mtaanza lini na gharama yote hadi mtu anafanya NECTA yaweza kuwa kiasi gani makadirio
 
A level mtaanza lini na gharama yote hadi mtu anafanya NECTA yaweza kuwa kiasi gani makadirio
A level Tunaanza Mwezi wa 5 , Gharama mpaka mtu anakuja kufanya necta ni Tsh 500,000/= unaweza kuchagua kuilipa yote au elfu 50,000/= kila mwezi, Mwezi mmoja wa kwanza na mwezi mmoja wa mwisho hutolipa ada means utasoma mwezi mmoja bure unapoanza na mwezi mmoja bure unapomaliza
 
Mkuu, kazi nimeiona... Ni nzuri.. ningependa kuuliza

Je, mtu anaweza soma Online na akafanya mitihani ya NECTA na kuendelea na level za juu katika taasis za kiserikali?
Jibu ni ndio ukilipia mtihani kama private canditate ukapangiwa ukajua kituo cha mtihani
 
Back
Top Bottom