shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Huu uteuzi wa mara kwa mara wanafunzi watajibu nini shuleni?

    Habari wana JF? Kipindi Cha nyuma tulikuwa tunawajua viongozi na vitengo vyao vya kazi. Walikuwa wanahudumu kwa mda mrefu bila kutenguliwa au labda ajiuzulu. Kwa Sasa tunawajua majina lakini hatujui idara zao Kwasababu ya kuhamishwa mara kwa mara . Anateuliwa Usiku na anatenguliwa asubuhi...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wizi wa udanganyifu wa tiketi katika SGR umenikumbusha walafi enzi za shule. Hakika "samaki mkunje angali mbichi"

    Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara mbili au mara moja kwa wiki, hivyo pia kwa wali. Watu wengi ambao walikuwa wanaonekana wastaarabu siku...
  3. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakakushangaa kuwa na wewe kumbe umo ila huvumi.

    Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu? Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Serikali imeleta mtaala butu SHULENI Usiotekelezeka nashauri uondolewe mara moja

    Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa 1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi 2. Mtoto...
  5. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Darasa kwenye Shule ya Msingi Tella limeporomoka kutokana na uchakavu, masomo yanaende, viongozi wameitelekeza

    Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka kwa Viongozi wetu. Wanafunzi wapo Shuleni wanaendelea na masomo kama kawaida huku tukiwa hatuna...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanafunzi wanakatazwa kuwa na simu shuleni? Tunajenga ama tunabomoa?

    Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni? Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn anakatazwa. Nini kinaogopwa, 0 kwa gharama ya kuwanyima wanafunzi kupata maarifa?
  8. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi mengi yanayobeba kupeleka watoto shuleni na kurudisha majumbani yanakua yamechoka sana?

    Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
  9. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo Wakati watu wako shuleni

    Habari WanaJf, Nimekumbuka Wakati huo shuleni mwalimu anakuchapa viboko, we ukilia anakwambia aaah unanizomea sindio😂😂 Na wengine ukishika tu nafuta naanza mwazo, iyo sihesabu.. Daah maticha bhn sometimes wanaona Raha wanavyopiga fimbo raia
  10. thadayo jr

    JamiiForums Tanzania Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Somo la mahusiano lifundishwe shuleni ili kupunguza matatizo ya kijamii

    Makazini utakutana na matatizo mengi ambayo chanzo kikubwa ni mahusiano mabovui, Ukija Mtaani pia utakuta kesi nyingi chanzo kikubwa ni mahusianomabovu. Mahusiano ni zaidi ya mapenzi kama wengi wanavyolitumia neno hilo bali hali yoyote ya kimawasiliano kati ya mtu na mtu. Baadhi ya Afisa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ajira kwa watumushi wa Serikali ubadilishwe ili kuleta matumaini kwa Watanzania waliopo shuleni

    Kwanza kabisa muasisi wa taifa letu hayati Mwalimu JK Nyerere alisema kila mtanzania anapaswa kupambana na adui watatu ambao ni: 1. Ujinga 2. Umasikini 3. Maradhi Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua tulipo fikia maana tumeweza kufaulu lakini sasa badala ya kupunguza maadui hapo basi...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba, huwa unahudhuria Matukio yanayofanyika Shuleni kwa Mtoto wako au ndio kwa bahati mbaya?

    Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe Mbunge wa Buyungu, Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi aliyepata ujauzito akiwa shuleni akirudi masomoni baada ya kujifungua sheria imuangalie upya namna ya kumhudumia kwa kumpatia elimu kwa kuwa anakuwa na changamoto nyingi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Walimu Waruhusiwa kuingia na Bunduki Shuleni

    Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne. Imeelezwa kuwa wabunge hao ambao ni wanachama wa Republican wa Tennessee House walipitisha sheria hiyo kwa walimu na wafanyakazi wengine...
  16. baba aura

    JamiiForums Tanzania Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

    Wakuu habari, nimekuwa najiuliza kila siku kuwa ni elimu gani muhimu ilahaifundishwi mashuleni wakuu
  17. Kibiriti ngoma

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje halmashauri ya Kilwa kipindi hiki cha midterm wanafunzi wanatakiwa waende shuleni

    Habari wadau, Shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Matinyi: Tahasusi mpya za dini shuleni, kinachofundishwa ni maarifa ya dini sio imani

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu masomo hayo.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imeshindwa kudhibiti adhabu za Viboko shuleni? Shule ya Msingi Bwagula na Shule ya Sekondari Tunamkumbuka zimepitiliza

    Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni. Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi kuacha shule, ulemavu pamoja na alama zisizifutika yaani makovu ya kudumu. Upigaji aua utiajia wa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Sehemu anapopata chakula mtoto wako akiwa shuleni pana hali gani?

    Wakuu kwema? Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto. Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani? Kuna shule ukiona...
Back
Top Bottom