Askari wa usalama barabarani Shule Tanki Bovu wanatia aibu wanapokea rushwa bila aibu

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Inasikitisha sana sana.

Hapa shule T.Bovu kuna traffick ametokea Kawe wakiongoxwa na short yule aliekuwa Kijitonyama.

Wapendwa ni aibu wako wanne wanasimamisha gari zaidi ya sita wanaanza kuchukua hela moja baada ya nyingine.

Inatia aibu kama mko kukusanya kodi andikeni hizo faini sio kwa aibu hii.
 
Pale baada ya kituo cha daladala kama unakaribia Petrol Station ya PUMA kuna Zebra. Sasa wanavizia kama hujasimama kwenye zebra crossing hata kama hakuna mwenda kwa miguu anayevuka wanakupa kosa la kushindwa kusimama kwenye kivuko cha waenda kwa miguu. Wanakaa watatu hadi wanne
 
MSHAHARA WA DHAMBI N MAUTI WAMEKOSA HELAZA MAGARI SASA WANAZIKIMBILIA BAJAJI NA PIKPIK BILA AIBU DOH
 
Pale baada ya kituo cha daladala kama unakaribia Petrol Station ya PUMA kuna Zebra. Sasa wanavizia kama hujasimama kwenye zebra crossing hata kama hakuna mwenda kwa miguu anayevuka wanakupa kosa la kushindwa kusimama kwenye kivuko cha waenda kwa miguu. Wanakaa watatu hadi wanne
Unapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?
 
Kwahiyo we hujui kuwa ni lazma usimame kwanza kwenye zebra hata kama hujakuta mtu anaetaka kuvuka? Au ndo udereva wa kujua kuachia clutch tu
 
Kuna afande mmoja Alikuwa kwenye kipindi sikumbuki kati ya itv au tbc alisema sio lazima Kama hamna mvukaji. Pia sio lazima kuwasha hazard wakat umesimama kivukoni.

Yani wanatuchanganya Hawa manesi ili kuchukua vibrash viatu kwa nguvu.
 
Unapaswa KUSIMAMA kwenye zebra iwe umekuta wavukaji au hujakuta. Hizo leseni mnaokotaga wapi asiee?
Ndugu Ghost Worker mebidi nicheke tu! Kwahiyo kwa barabara za Dar sehemu zoote zenye zebra ukifika lazima usimame?!!! This is a very big joke. Sehemu zingine zebra zipo katikati ya junctions kwenye mataa.

Kwahi kama kuna msururu wa magari ishirini nyuma kila gari ikifika hapo isimame hata kama hakuna anayevuka!!!! Hizi ni akili za wanaolazimishia watu makosa, ni akili za ma sadist. Watu ambao hufurahi wanapoona wengine wamepata matatizo
 
Kwahiyo we hujui kuwa ni lazma usimame kwanza kwenye zebra hata kama hujakuta mtu anaetaka kuvuka? Au ndo udereva wa kujua kuachia clutch tu
Udereva wa kufunzwa ni udereva wa kutumia akili. Unachokiongea ni practically impossible hasa kwa miundombinu isiyokua na mpangilio ya hapa Dar

Kwa kauli yako naelewa wewe ni katika wale wanaolazimisha makosa for personal gain
 
Back
Top Bottom