Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,160
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .

Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !

Subpost 2 - DOGO JANJA amefikishiwa tayari vifaa vya shule kutoka kwa wapiganaji ( 797 X 640 ).jpg
Subpost 1 - DOGO JANJA amefikishiwa tayari vifaa vya shule kutoka kwa wapiganaji ( 800 X 640 ).jpg

Unaweza kumsikiliza dogo hapa akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
 
Attachments

  • Huyu dogo picha yake ili trend sana juzi akiwa amepanda juu ya mti ili kumuona @ ( 720 X 1280 ).mp4
    9.1 MB
huyu mtoto anaakisi maisha yetu tulipotoka, wengi tuliotoka vijijini tulikuwa hivi.
nakumbuka kampeni ya mwaka 1995 tulilikimbiza gari la chedema mvua ikatupiga kisawa sawa
1995 nilishiriki kikamilifu kampeni za chadema ikiwa ndio mikutano yenye washiriki wachache sana. Lakini wakati huo nikiwa na umri chini ya miaka 10 nilikuwa namwelewa mgombea mmoja wa udiwani chadema. Alieeleza sera zake makini zikanigusa. Tangu hapo mimi ni mwanachama mwandamizi wa chadema. The implanted instincts since then shall never wear off.
 
Safii.. we jamaa nona. mwaka 95 ulishaanza kuikubali chadema. familiayangu yote ilikuwa nccr mageuzi
 
Chadema mnasema maendeleo sio vitu kwenye sera yenu kwa nini mumempa vitu yaani madaftari na peni huyo mtoto?

Mwangalieni usoni dogo anavyowashangaa!! mbona mnasema maendeleo sio vitu halafu mnanipa vitu? Dogo anaonyesha wazi kachukia na hawaelewi Chadema anauliza nini hiki mlichonipa mkononi wakati mnasema maendeleo sio vitu na nimemsikia mimi mwenyewe Lisu akiongea nilipokuwa juu pale penye mti? Mbona siwaelewi?

1600330483251.png
 
Back
Top Bottom