Tangu Zama za Shauritanga ilipoteketea, wimbi la shule kuungua na kuteketea kwa moto halijawahi kukoma. Kama sio madarasa yanaungua, Basi ni mabweni.
Katika matukio haya ambayo yamekuwa yakichunguzwa kwa muda mrefu na Jeshi la polisi na zimamoto, hawajawahi kutupa chanzo hasa ni Nini, pia...