shule

  1. JamiiForums Tanzania Wanafunzi Shule ya Msingi Namalombe wasomea chini ya mkorosho

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Namalombe wilaya ya Nanyumbu mkoa wa Mtwara na Mwalimu mkuu wao Bwanaheri Akili wameiomba serikali kuwajengea madarasa kwani kwasasa wanapata shida kusomea chini ya mkorosho kama darasa, kutokana na shule hiyo kuwa na darasa moja tangu ilipoanzishwa mwaka 2014...
  2. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati : Naibu Waziri Tamisemi Mhe. Silinde akikagua Vyoo vya Shule ya Msingi Namalombe iliyoko Nanyumbu Mkoani Mtwara

    Sina cha kuongeza ili kukwepa mkono wa TCRA, nimeweka vielelezo tu baasii.
  3. JamiiForums Tanzania Ombi la nafasi ya kazi ya Ualimu katika shule au taasisi yoyote

    Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya Jografia na Kiswahili. Kwasasa naishi Dar es Salaam, natafuta shule iliyopo mkoa wowote yenye uhitaji wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia ndege kumwaga viatilifu kuangamiza nzige Longido na Simanjiro, shule kufungwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema kuanzia kesho wataanza kumwaga viatilifu vya kuuwa nzige katika wilaya ya Longidi na Simanjiro kwa kutumia ndege. Shule zitafungwa kwa muda wa siku nne na wananchi wanaonywa kutookota nzige na kuwala. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama! ------...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa mapokezi anatakiwa katika shule ya udereva Mabibo

    Sifa 1. Uwezo mzuri sana wa kujieleza na ushawishi wa hali ya juu 2. Aliyetayari kufanya kazi yenye matokeo bila usimamizi 3. Mnadhifu sana na mwenye lugha laini wakati wote 4. Elimu kidato cha nne na awe mdada anayeishi Dar es Salaam 5. Mshahara si tatizo itategemea na uwezo wa kazi 6. Mwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Binti alimaliza form 4 mwaka 2018 na kapewa mimba mwaka huu na kudai anasubiri kuendelea shule, je ni kosa

    Wanasheria hebu tusaidiane hapa. Mfano binti alipata divisheni 3 mwaka 2018 na akawa mtaani sasa kapata mimba, yeye anasema bado ni mwanafunzi anasubiri kwenda form 5. Je, hii ni kesi ya kumpa mimba mwanafunzi?
  8. JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa mpaka Machi 30. Serikali kujenga shule mpya zaidi ya 1000

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini. Waziri Mkuu Majaliwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Supervisor wa shule za udereva anahitajika haraka

    Sifa Uwezo wa kuongoza taasisi yenye matawi yake Lugha nzuri sana na uwezo wa kujieleza Mwaminifu sana na aliyetayari kufanya kazi bila usimamizi na kwakujitoa Uwezo wa kutumia computer na uelewa wa kuandaa report za utendaji Awe na jinsia ya kike mwenye ujasiri, ari, uwezo na utayari wa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Habari wadau.. January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo. Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri aagiza Wakuu wa Shule kuwabaini Walimu wanaojikita kufundisha tuisheni kuliko kwenye ajira walizoomba

    Walimu Wakuu wa shule za msingi wameagizwa kusimamia vizuri taaluma na kuwabaini wale wote wanaojikita kufundisha tuisheni badala ya kutumikia ajira waliyoiomba. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ambapo alitoa agizo wakati alipokuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya leo kinamhusu kiongozi wa wale 19 walioaposhwa garage

  13. JamiiForums Tanzania Wenye system za shule (school management system) nawaomba

    Kuna mteja nimempata. Anahitaji school management system. Kama ya kwako ina sifa zifuatazo, nakuomba: Inaweza kuwa installed offline ina uwezo wa kuvuta reports sawasawa (ntaomba evidence of this). iko flexible enough to change kama inakidhi mahitaji haya, tujuzane. I need it urgently, so the...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Walioacha Ualimu na kukimbilia Siasa au shule binafsi nao wasakwe

    Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi. Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini...
  15. JamiiForums Tanzania TAFAKURI CWT: Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe kama wafanyavyo SUMA JKT?

    Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums. Eti ndugu zangu; Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT? Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Waziri wa OR- TAMISEMI na Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) watumbueni Wakuu wa shule za sekondari mijini

    Ndugu wana Jf ,habari za wakati huu na hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2021.Nami pia ninawatakieni kheri ya mwaka huu! Hili ni chapisho langu la kwanza kwa mwaka huu 2021 tangu nilipoonekana humu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kama mada yangu inavyojibeba kupitia jina lake,ningependa...
  17. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Mitambo, Mkoa wa Mtwara

    Hawa ni watoto wanaotegemewa kufaulu kwa alama za juu. Hii ndiyo nguvu kazi ya siku zijazo.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiige mfumo wa elimu kama IST?

    Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary. A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills. Nimefikiria na kujiuliza hivi kwanini serikali isijaribu walau kuiga mfumo wa shule walau katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi za Sekondari zipo hoi

    Mambo yamebadilika. Miaka sita iliyopita watu walikuwa wanazikimbia shule za serikali wanagombania shule za private. Hali imekuwa kinyume miaka hii na hasa mwaka huu. Sasa shule za serikali zimefurika wanafunzi wakati sekondari za private zina wanafunzi kiduchu. Ukizingatia kwamba sekondari za...
  20. JamiiForums Tanzania Shule ni ngumu kuliko mtaa

    Wakuu! Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa. Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa. Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…