Habar wadau wa elimu.
Kuna jambo hapa naomba ushirikiano wako. Hii ni kwa zile shule za sekondari sasa kuna maabara zile za masomo ya physics, chemistry na biology. Sasa kwenye hizi maabara kunatumika vifaa (apparatus) na kemikali mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi yaani...
Hadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
Kwema Wakuu!
Nimesoma Uzi wa member mmoja humu kuhusu adhabu za matofali wapewazo wanafunzi nikakumbuka miaka nikiwa nasoma.
Shule bila adhabu inakuwa ya kiduwanzi kichizi. Yaani inakuwa ya kimama. Raha ya shule iwe na hekaheka bhana! Yaani shule Kama ipo na Kuku WA broiler.
Shule gani haina...
Dunia inaenda kasi sana na hakuna wa kumsubiri mwingine eti ndio tuende sawa.
Ni dhahiri kuwa Mataifa yaliyoshika hatamu za dunia hii wao wamewekeza sana kwenye sayansi na teknolojia, gunduzi mbalimbali zinazofanywa na Wananchi wao ndio zinazogeuzwa bidhaa na wengine tuliobaki tunakuwa Wateja...
Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi kuliko wengine waliopita huko Kwingineko?
Nitakuwa ni Mchoyo wa Fadhila na hata Shukran tu...
Ndugu Wazazi kuweni makini sana na watoto wenu wanaosoma shule za binafsi kwa sababu kuna mtoto wa rafiki yangu yupo darasa la nne shule X walikuwa wanafanya mtihani wa darasa la nne WILAYA sasa kuna mwl alikuwa anasimamia hiyo shule na anafahamiana na mzazi wa huyo mtoto wake anayesoma hiyo...
Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha.
Hayo yameelezwa na...
MH DC
SHALOM
Tunaomba msaada wako wachimba mchanga mto Kawe wanachimba tope.
Watoto wanashindwa kwenda mashulen. Polisi Kawe wameshindwa kutusaidia wanakuja kukusanya pesa kila siku badala ya kuzuia malori
Tunaomba tusisubiri kusikia wamekufa watoto tunaomba marufuku kuchimba mto Kawe
Wako...
"Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
Habari wanaJF,
Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ?
Ahsanteni.
Nimekuwa nikijiuliza Kwa Muda mrefu sana kuhusu Hali ya shule zetu za msingi. Serikali yetu imefanya jitihada kubwa sana katika kuhakikisha takribani kila kijiji kinakuwa na shule ya msingi. Jambo ambalo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno. Lengo la kufanya hivyo lilikuwa ni kuhakikisha kila...
CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa,
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule nyingine
Maelfu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Jimbo hilo walifanya mtihani wa Cheti cha...
Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki?
Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za mfadhili za ujenzi wa shule.
Agizo hilo amelitoa jana Alhamisi Septemba Mosi 2022 wakati wa mkutano...
Na Amour A. Mawalanga
Ilikua ni mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu ndipo sera ya uanzishwaji wake ilipoanza chini ya mzee wa Msoga Rais wa awamu ya nne Jakaya M. Kikwete huku mtendaji wake mkuu wa serikali akiwa Edward N. Lowasa.
Mwaka 2006 ndipo utekelezaji ukaanza ambapo kila kata ilitakiwa iwe...
Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe.
Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97.
Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.