ENZI ZETU
Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati.
Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
Salama jamani.
Huu mwaka 2022 kiboko naona walimu watakuwa wamechoka sio kwa hali hii tunayoenda nayo.
Nahic hata wanafunzi nao watakuwa hoi bin taabani.
Toka January hakuna kupumzika mpaka leo. Hapa kati mwezi wa nne kidogo kulikuwa na vimapumziko vya hapa na pale lkn kifupi...
Awali ya yote nampongeza sana Mhe. Rais wetu, mpendwa wetu Mama SAMIA SULUHU HASSANI kwa kazi nzuri anayoifanya na wasaidizi wake. Pia nampongeza sana aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu kwa kazi kubwa aliyoifanya na nampongeza sana Mkuu mpya mteule wa majeshi ya ulinzi kwa uteuzi wake...
Zaidi ya wanafunzi 70 wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bwiru iliyopo Pasiansi Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wanalala kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2022 na kuunguza vitanda, magodoro, nguo pamoja na vifaa vyao vya shule
Moto...
Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926.
Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
Habari!
Huu ni ushauri wangu wa mwisho kwa serikali.
Yaani namaanisha hapa nimetumia akili zangu zote kuwaza namna ya kuondoa ujinga na umaskini katika jamii.
Sasa % kubwa ya watoto wa darasa la saba wanajiunga kidato cha kwanza.
Wengi huishika kidato cha 4 kwasababu mbalimbali.
Miaka 4 ya...
Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018....
Ajira za 2018 zikatoka nawe...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha.
Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho?
Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu.
Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu...
Hapa namaanisha shule ambayo wanacover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani. Inaruhusiwa kuwa na shule ya namna hii?
sababu zangu ni hizi hapa;
1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
Hivi karibuni kumejengeka tabia ya shule nyingi za msingi, hasa za binafsi kuanzisha masomo ya ziada yanayoitwa CRASH PROGRAM.
Programu hii huhusisha masomo ya ziada kwa wanafunzi wa shule za msingi wa darasa la nne na la saba (hata la sita) kwa ajili ya kuwaandaa wanafunzi kwa ajili ya...
wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.