Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita.
Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
Wilaya ya kiteto iliyoko mkoani Manyara, inakabiliwa na upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi hivyo Serikali na wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana kutatua changamoto hiyo, ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi.
Chanzo: ITV
Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
Zaidi ya Watoto 100 wa Kitongoji cha Maloweke Wilayani Gairo wamekwama kupata elimu ya shuleni licha ya kuwa na umri wa kwenda shule kutokana na kukosekana kwa shule katika eneo wanaloishi.
Inaelezwa shule za karibu zipo umbali wa kilometa 11 kutoka eneo, hali inayowapa ugumu Watoto kutembea...
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM.
Mtoto ni wa kiume Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi.
Ahsante
Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
Mzee Ramadhan Rashid mwenye umri wa miaka 80, mkazi wa wilayani Kisarawe, amekuwa mmoja kati ya watu 300, waliojitokeza kuanza shule ya awali inayotolewa kupitia mpango wa elimu ya watu wazima MUKAJA na ule wa waliokua nje ya mfumo rasmi wa elimu MEMKWA.
Mzee Ramadhan, amejiunga na wenzake...
Gaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7.
Gaidi hilo la kijerumani lenye umri wa miaka 25 limetiwa nguvuni na tayari limefunguliwa kesi.
Kwa mujibu wa...
Mtu mwenye silaha avamia shule na kuuwa Watu 6 na kujeruhi 20
=========
6 dead, 20 wounded in school shooting in Russia
MOSCOW (AP) — A gunman on Monday morning killed six people and wounded 20 others in a school in central Russia, local police said.
Governor of the Udmurtia region, Alexander...
Kama kichwa kinavyojieleza..
Naanza nimesoma shule ya msingi sanawari primary school,shule ipo arusha.
Mwaka (1998-2004)..nawakumbuka walimu waliokuwa wanachapa hatari sana,kuna mwalimu mdee,mwalimu mollel,hawa sitawasahau kwa kichapo heavy.
Nawakaribisha tukumbushane ya zamani...
Habar wadau wa elimu.
Kuna jambo hapa naomba ushirikiano wako. Hii ni kwa zile shule za sekondari sasa kuna maabara zile za masomo ya physics, chemistry na biology. Sasa kwenye hizi maabara kunatumika vifaa (apparatus) na kemikali mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi yaani...
Hadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
Kwema Wakuu!
Nimesoma Uzi wa member mmoja humu kuhusu adhabu za matofali wapewazo wanafunzi nikakumbuka miaka nikiwa nasoma.
Shule bila adhabu inakuwa ya kiduwanzi kichizi. Yaani inakuwa ya kimama. Raha ya shule iwe na hekaheka bhana! Yaani shule Kama ipo na Kuku WA broiler.
Shule gani haina...
Dunia inaenda kasi sana na hakuna wa kumsubiri mwingine eti ndio tuende sawa.
Ni dhahiri kuwa Mataifa yaliyoshika hatamu za dunia hii wao wamewekeza sana kwenye sayansi na teknolojia, gunduzi mbalimbali zinazofanywa na Wananchi wao ndio zinazogeuzwa bidhaa na wengine tuliobaki tunakuwa Wateja...
Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi kuliko wengine waliopita huko Kwingineko?
Nitakuwa ni Mchoyo wa Fadhila na hata Shukran tu...
Ndugu Wazazi kuweni makini sana na watoto wenu wanaosoma shule za binafsi kwa sababu kuna mtoto wa rafiki yangu yupo darasa la nne shule X walikuwa wanafanya mtihani wa darasa la nne WILAYA sasa kuna mwl alikuwa anasimamia hiyo shule na anafahamiana na mzazi wa huyo mtoto wake anayesoma hiyo...
Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha.
Hayo yameelezwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.