shule

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi. Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
  2. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Lalamiko langu kwa shule za Tanzania kulazimisha wanafunzi kusoma masomo ya Dini

    Habari za saa nyote natumai ni njema, moja kwa moja wacha niende katika jambo lililonifanya niandike lalamimiko langu. Lalamiko langu linaenda kwa shule za msingi na upili katika taifa letu la Tanzania kuhusu suala la ulazimishaji wa vipindi vya dini kwa wanafunzi tena kwa kuwachapa viboko wale...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Bweni la Shule ya Msingi Buhangija lateketea kwa moto na kuua wanafunzi watatu

    Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Buhangija na kituo cha elimu maalumu Buhangija Manispaa ya Shinyanga wamepoteza maisha, baada ya bweni la wasichana walilokuwa wamelala kuungua moto usiku wa kuamkia leo huku wengine wakinusurika baada ya kuokolewa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  4. Kaji Bagome

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Msingi (W) Magu, rekebisha uongozi wa Shule ya Msingi Magu

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee, sawa; moja kwa moja kwenye Mada. DEO Msingi (W) Magu, napenda kukujulisha kwamba, uongozi wa Shule ya Msingi Magu umepwaya, kiasi kwamba mshikamano wa waalimu shuleni hapo haupo; waalimu wamegawanywa na Mwalimu Mkuu EZEKIEL NJALLA; kiasi kwamba...
  5. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

    Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  7. emmarki

    JamiiForums Tanzania Ni shule gani ya msingi (english medium) iliyoko Mabibo na viunga vyake

    Nategemea kuhamia mabibo katika harakati zangu za kutafute mkate wa kila siku. Naomba kujuzwa kama kuna shule nzuri ya primary (English Medium) kwa ajili ya kusoma kinda wangu. Iwe mabibo au kuna shule yenye school bus yanayopita maeneo hayo
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi 8 wafariki kwa Ebola Uganda, Serikali kuzifunga shule zote

    Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shule za olevel Tanzania

    Hello habar wadau, naomba kujua ni shule zipi za olevel zenye boarding iwe ya Boys au mchanganyiko hususan Kwa mikoa ya Dodoma na morogoro. Natanguliza shukran za dhati
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule ya chekechea waenda mashambani na kujifunza ujuzi wa kilimo mkoani Zhejiang, China

    Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
  11. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Ni haki kwa aliyesoma shule za kata kupewa mkopo kiasi hiki?

    Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wamiliki Shule Binafsi wapinga Serikali kuifungia Chalinze Modern Islamic

    Umoja wa Wamiliki na Maneneja wa shule binafsi Tanzania (Tamongosco), wameingilia kati suala la kufungiwa kwa Shule ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani wakitaka uamuzi huo utenguliwe. Tamongosco wamejitosa katika sakata hilo ikiwa ni siku chache tangu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa Pre-Form one kuwa lazima kwa baadhi ya Shule Binafsi ni sahihi?

    Baadhi ya Wadau wa Elimu wameomba Mamlaka kudhibiti utaratibu huu, huku Wengine wakiona ni Sahihi. Kwa hoja hizi na nyingine nyingi jiunge nasi Twitter Spaces ya JamiiForums muda huu uweze kuwa sehemu ya mjadala huu. Bonyeza hapa kujiunga > JF SPACES Mkaka Smart Mimi nachukulia positive...
  14. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kwa wasomi wetu, kuwa na akili bila udadisi ni sawa na kutokwenda shule kabisa

    Akili ya binadamu ni utajiri wenye nguvu zaidi kuliko tunavyoongozwa kuamini katika elimu rasmi ya kitaaluma tunapokuwa shuleni au chuoni. Nachukia sana watu wanapochanganya akili na elimu. Unaweza kuwa na shahada na bado ukawa mjinga kwa kuamini unajua kila kitu! Elimu inakuwa na manufaa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wasichana 3,333 warejeshwa shule, ni waliokataliwa na serikali ya hayati Magufuli

    Wasichana 3,333 sawa na 111% wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21 waliokatisha masomo ya elimu ya sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokana na mazingira magumu, kupata ujauzito na ndoa za utotoni wamerejeshwa shuleni mwaka 2021/2022. Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima(TEWW), Dk...
  16. Amina68

    JamiiForums Tanzania NECTA yathibitisha tuhuma alizotoa mwanafunzi wa Chalinze Modern Islamic ni za kweli, Yaifungia shule

    Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kataza wanafunzi kulazimishwa kwenda na madaftari yote shule

    Huwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Shule kama Precious Blood, Anwarite Girls na Maua Hazina Pre form one

    Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

    Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
Back
Top Bottom