Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita.
Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
SHULE BORA ni mradi wa Serikali ya Tanzania unaofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika lake la Maendeleo la UKAID wenye lengo la kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji shuleni ili kuboresha Elimu na kuhakikisha watoto wote wa Kitanzania wa kike na wa kiume wanapata elimu bora...
Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi.
Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo?
Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji...
Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne.
Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
Na wataendelea kufagiwa na kufyekwa....
The Wagner Group is now resorting to hiring its fighters through recruitment hubs set up at sports centers across Russia, while representatives are targeting high school students, the British Ministry of Defense said Monday.
In its latest assessment of...
Nimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana.
Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora...
Salaam wakuu,
Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo.
Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school.
Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma...
Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023!
Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na...
Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji.
Kwa mujibu wa BBC, mvua kubwa inayonyesha kusini mwa Malawi imeharibu barabara na kusitisha uzalishaji wa umeme, huku...
Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu kuliko hata msaniii namba Moja wa Tanzania yaani Diamond Platnums ambaye hajui kabisa kuimba kwa...
Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe wengi ambao Mathias ndiye alikuwa mchungaji. Mwaka 1931. Akiwa kama na miaka 14-15 aliozwa mke...
ZAYTUN SWAI AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA BWENI SHULE YA SEKONDARI YA MKONOO
Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Arusha Zaytun Swai, katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 alitembelea Shule ya Sekondari Mkonoo Kata ya Terat Arusha jiji na...
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.
Kauli...
MBUNGE MHE. MARTHA GWAU AWAFUNDA WAKINAMAMA NA MABINTI WA SHULE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mhe. Martha Gwau, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida alikuwa ni miongoni mwa viongozi waliofika shule ya Sekondari Ilongero kuzungumza na kusikiliza midahalo miwili ya mabinti wa shule pamoja mdahalo wa...
Serikali imepiga marufuku kwa shule zinazotoa huduma yela bweni kusitisha kwa watoto wa shule za swali mpaka darasa la nne. Shule zemeelekezwa kufanya hivyo baada ya kumalizika muhula wa kwanza mwaka huu.
Ukiangakia ni kwamba huu ni uamuzi ambao umekee sikiasa na kihisia zaidi. Moja kati ya...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Kilimanjaro na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Grace Kiwelu ameeleza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan namna viongozi wa baraza hilo la wanawake walivyodhalilishwa na kukataliwa kuotesha miche ya matunda katika Shule ya Sekondari...
Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli.
Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe Kiingereza.
Watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa Kiingereza ( English...
Elimu haina mwisho!
Kila jambo halitokei pasipo sababu!
Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba!
Iko aina mbali mbali ya makubaliano!
Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract)
Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
Mzee Salum Bakari amesikitishwa na kitendo cha binti yake kuandika barua ya kuacha shule na kuuza sare zake kisha kutoroka nyumbani.
Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake amesema kuwa siku ya tukio aliitwa shuleni na Mkuu wa shule ambayo anasoma binti ake kidato cha kwanza.
“Kwanza alianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.