Panda gari za Bagamoyo kinda atakuelekeza.Au panda gari za Bunju halafu utapanda za Bagamoyo BunjuHello watanzania wezangu, naomba mnipe maelekezo ya kufika shule ya AHMES (advance) nipande magari yapi nishuke wapi etc.
Mimi natokea Ukonga
Ahmes - Ally Hassan Mwinyi Elites Schoolshivi hiyo shule ina uhusiano wowote na awamu wa pili?
aisee,kumbe Nyerere tu ndio alikua boya nchi hii.Ahmes - Ally Hassan Mwinyi Elites Schools