Shekhe anadai Mwamposa aliingiza million 900 siku ya mkesha wa chako ni chako katika uwanja wa Mkapa kwa kuuza udongo tu.


View attachment 2726986
Huyo sheikh anae mshangaa mwamposa kupiga hela ya mchanga si sheikh huyo ni mbabaishaji tu kwa sababu ukirito autofautishwi na utapele unaongozwa na viini macho mazingaombwe bayo chanzo chake ni uchawi
 
hii ndio shida kubwa iliyopo kwenye uislam kufatilia mambo ambayo hayawahusu
hakuna mtu anafatilia na kusoma biblia kama muislam for what? ili atafute loophole aje public akosoe it simply stupidity mindset
mkataba wa bandari baada tu ya TEC kuweka msimamo wao hawa wameleta udini instead ya kujadili hoja wanajadili mtu
idiots
haya apo mwamposa kupiga M900 za wapumbavu wa dini wanao subili miujiza badala ya kufanya kazi kwa juhudi uku unamtegemea mungu na sio hayo MA michanga inakuuma nini wewe shekh?
wivu wivu wivu
 
Back
Top Bottom