Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

Tutu kalundji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
532
Reaction score
1,287
Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko!

Well done Headmaster,Mr Boaz!

Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
 
Bila picha itaonekana kama umbea tu.
 
Ushahidi wa picha ni muhimu mkuu [emoji3]
 
[emoji848][emoji848][emoji848]unataka uteuzi mkuu
 
Walimu njaa zinawapeleka mbali sana huyu jamaa Toka aingie if stori zake ni walimu wa Bunda tu[emoji23]
 
Back
Top Bottom