shule za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mwenye kujua taratibu za kumhamisha mtoto toka shule binafsi kurudi shule za serikali

    Amani ya bwana iwe juu yenu waungwana. Kama kichwa cha habari kinavyojielezq,nina kijana wangu yupo kidato cha kwanza shule binafsi iliyopo Pongwe-Tanga,alihitimu elimu ya msingi Dar es salaam na kuchaguliwa kujiunga na shule ya serikali ya kata iliyopo maeneo ya Chanika. Nilifuata taratibu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI, chunguzeni shule mnazoziwekea Hela ya uendeshaji wa EBM ili kuzingatia matumizi sahihi ya Kodi ya wananchi

    Habari za kazi ndugu watanzania wenzangu, Binafsi niwapongeze woote katika juhudi zilizo tukuka kulijenga taifa letu safi la Tanzania, Nimpongeze Mh. Dr. Samia suluhu Hasan kwa juhudi za kuijenga Tanzania yetu katika nyanja zote za maisha, Lakini pia kwenye sekta ya elimu hakika unaupiga...
  3. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

    Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa. Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala huku tarime kulikuwa na Shirati sec school. Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z mtupishe.
  4. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Shule za Msingi za Serikali mitihani ni mingi, Serikali ijitathmini

    Shule za Msingi Kuna mitihani mingi sana Kwa madarasa ya 4 na 7 Mfano mock, Wanafanya Mock Kabla ya mwezi wa Tano, watafanya Tena Kabla ya mwezi wa nane, Wana mitihani ya kata, mitihani ya wilaya, Wana mitihani ya Kess, Mitihani ya Mofety. (Taasisi binafsi zimeruhusiwa kuuza kutunga na kuuza...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani huwa anachagua mwenyekiti wa bodi katika shule za serikali?

  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Shule za serikali kuagiza majembe, reki na makwanja kila mwaka huwa wanayapeleka wapi?

    Kila mwaka shule za Serikali huagiza wanafunzi wapya wanaoanza kujiunga na shule hizo kwenda na majembe, makwanja, reki, mafagio nk kama sehemu ya mahitaji ya vifaa vya kukamilisha wanaporipoti shuleni. Swali langu ni kuwa huwa wanayapeleka wapi kila mwaka wanapokea mapya, angalau hata mafagio...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Shule za Serikali zisiitwe "za Serikali" bali ziitwe za Umma

    Wakuu habari za mchana, moja kwa moja kwenye maada. Ni kwa muda mrefu Sasa kumekuwepo na utaratibu wa kuziita shule za watanzania (wananchi) kuwa ni shule za serikali jambo ambalo naliona siyo sawa. Ki kawaida shule hizi zinatakiwa ziitwe "shule za Umma (Public schools) na siyo shule za...
  8. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  9. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ufugaji wa samaki kwa mapinduzi ya kitaaluma na kiteknolojia katika shule za serikali nchini Tanzania

    Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini. DHIMA KUU YA MRADI HUU: Ufugaji wa samaki...
  10. Fintan20

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shule za serikali za wasichana Arusha

    Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha. Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha Ahsanteni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri kwa wanafunzi shule za Serikali

    Serikali ifikirie juu ya usafiri kwa wanafunzi wa shule za serikali ili kutatua changamoto wanayopata wanafunzi katika miji mikubwa. Wanafunzi wamekuwa wakikaa katika vituo hadi saa tatu usiku jambo ambalo ni hatarishi kwa wanafunzi hao. Serikali itenge bajeti ya kununua mabasi ya shule...
  13. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

    Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utafiti nilioufanya nimegundua vijana wengi waliosoma shule za bei kubwa wanachelewa sana kuoa tofauti na waliosoma shule za serikali, hii ndio sababu

    Hata mimi mwenyewe nimesoma shule za private lakini nina marafiki wengi waliosoma serikali, so nayaongea haya nikiwa nawajua wahusika. Binafsi kwenye shule za msingi na o leve nimesoma za private, msingi nimesoma day ada ilikuwa laki 2 mwaka 2003 (kwa sasa ni milioni 1), o level sekondari ada...
  15. Los santos

    JamiiForums Tanzania Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

    #HABARI Uamuzi wa Wizara ya Elimu nchini Misri kutangaza marufuku ya kuvaa vazi la uso (Niqab) katika shule za serikali na binafsi umezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii na kushutumiwa vikali huku uamuzi huo ukitajwa kuingilia masuala binafsi. Wengi ambao hawakubaliani na marufuku hiyo...
  16. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
  17. RAMAKISIMA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi katika utoaji huduma kwa shule za serikali

    ANDIKO LA MAONI Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ili kuleta tija katika utendaji na kuzia mwingiliano wa majukumu. Mgawanyiko wa majukumu huainisha...
  18. blogger

    JamiiForums Tanzania Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

    Ina tija gani? Halafu ili iwe nini? Na kwanini? Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA? Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Upigaji mpya wa fedha za wazazi jijini Arusha Kamati za Wazazi Shule za Serikali

    Salam wanabodi, Upigaji wa fedha za wazazi ni upigaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wa kamati za wazazi katika shule za serikali hasa za sekondari. Karibia kila shule wazazi wamefungua account bank kwa ajili ya michango ya chakula cha watoto shuleni, mpishi, walinzi, walimu wa masomo ya...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Naungana na Shigongo Mawaziri na Watumishi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame mitaala na kuunda sera zenye maslahi mapana kwa taifa Amesema hayo akijadili bajeti ya elimu...
Back
Top Bottom