blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,470
12,625
Ina tija gani?

Halafu ili iwe nini?

Na kwanini?

Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA?

Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi?

Hizi shule ambazo serikali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake?

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average, wote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement?
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Sasa unasomesha mtoto huko FEZA unataka akasome shule za TAMISEMI kama mzumbe au kibaha, ina maana gani?

Kama uwezo unaruhusu pelela huko huko FEZA na chuo peleka nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina tija gani!?
Alafu ili iwe nini!?
Na kwanini!?

Yani nasomesha mtoto mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS..MARIAN SCHOOLS

Alafu selection mnampeleka NKASI...CHUNYA , NAMTUMBO , SONGEA..

Hivi hizi selection ziko fair kweli!?
Kwanini selction ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi.

Hizi shule ambazo serkali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake.

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average..woote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui @Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement.
Uwezo wake pia mdogo ujue. Wale wenye pass marks kubwa wanaenda mzumbe, kilakala, msalato, Tabora girls na boys, tosamaganga, Songea boys na girls nk

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Unataka apangwe kwenye shule ya ajabu? Mbona hao waliomsomesha wamesoma shule hizo hizo? Acheni kujidhalilisha
😂😅
Eti shule ya ajabu.. kuwa serious.

Acheni kuitetea Serikali kipumbavu. Ndo mtaendelea uziwa mabandari mpaka mwisho wa siku nawe utauzwa.

Serikali ijenge shule bora na nzuri. Kila mtu apate haki yake.
 
Back
Top Bottom