shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CRDB SIM BANKING APP NINI SHIDA?

    Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
  2. JamiiForums Tanzania Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

    Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo! Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

    Inaumiza sana ndugu zangu. Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu.. Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea. Inauma Sana ndugu zangu, Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NMB App mna shida gani Leo?

    Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma? Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo? Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi hizi zinawafaa INTROVERTS wa Tanzania wasiopenda ama wenye shida ya kusocoalize

    Introverts ni watu wanaopenda kuwa peke yao ama kuwa na circle ndogo sana ya watu, ni aidha wana aibu, wakimya, wana ulemavu wa mawasiliano, n.k. hivyo kupelekea wao kuwa na uwezo mdogo wa kusocialize, Watu hawa huchukuliwa kimakosa kwamba wana viburi au wana jeuri, Kazi hizi zinawafaa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii nchi ina shida nyingi sana, ajabu CHADEMA wanaaandama kisa sheria ya uchaguzi. Kwahiyo matatizo mengine hamyaoni?

    Mimi bwana sipendi sana kuandika mambo ya siasa hizi za Bongo siku hizi sio kwasababu sipendi ila sipendi tu kuandika kuhusu hizi siasa uchwara. Ok ni hivi, acha niandike kwa ufupi kuhusu tamko la Mbowe (CHADEMA) Nimefikira sana kuhusu kauli na kuendelea kujifunza kuhusu mambo mengi sana juu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani mkoa wa Pwani?

    Nilikuwa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii). Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda. Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha...
  9. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi TAMISEMI shida tupu, kila ukilala unaota uko jela

    TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela. TAMISEMI hata ukiiba elfu 50 jiandae kufukuzwa kazi au kufungwa. TAMISEMI ukifanya kazi kuwa makini, unaweza kuingizwa...
  10. JamiiForums Tanzania Graphics hizi shida ipo wapi?

    ...
  11. JamiiForums Tanzania NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

    Wasalaam Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao. Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka. Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii What a pity?
  12. JamiiForums Tanzania Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

    Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha. Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect way, tofauti yao na wale wa Ubungo...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu hapa shida itakua nini

    Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina sinyaa na kua ndogo ndogo yaani ndogo sana na Hadi wakati mwingine zinapotea kabisa yani huoni kitu , kwa...
  16. JamiiForums Tanzania VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO bado shida ni kubwa sana, wiki 3 transformer imeungua haijabadilishwa

    TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
  18. JamiiForums Tanzania Anasema "Nakupenda kama kaka yangu", nikimuita tukutane anakuja and returns my calls. Shida ni nini?

    ...
  19. JamiiForums Tanzania Muungano bado una shida nyingi tusidanganyane

    Nikiwa barabarani naendesha gari, Siti yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye bendera ya Zanzibar. Mjukuu akaniuliza Ile gari mbona Ina namba za tofauti na hizi zetu, ni gari kutoka nchi gani?. Nikamwambia ni...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Habari wanajamvi, Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network. Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…