Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 103
- 130
Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
Mimi mbona natumia fresh tu, unakwama wapi?Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
Kwenye tablet nafungua naona inaweka weusi ....blank displayMimi mbona natumia fresh tu, unakwama wapi?