Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".
Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").
Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi.
"Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha.
"Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI", Samuya.
"Nilibeti nikashinda TSH 1,000,000 (kumbe kaiba pesa)", by kijana niliyemwajiri kwenye duka...
Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam mhashamu Thadeus Ruwa'ichi anasema "Mvivu ni kichaka cha shetani, Usikubali kuwa kichaka cha shetani, hebu uwe nyumba ya neema, nyumba ya baraka, makao ya Mungu na mtenda kazi wa Mungu."
Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki.
Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja kumgharimu na yeye hivi karibuni shetani muuwaji hana rafiki hatukupaswa kupuuzia katiba ya nchi ni...
Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu.
Mauaji ya kiharamia yaliyofanywa na kmkm wa Zanzibar, polisi na UvCCM, hayahitaji maridhiano...
Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana.
Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu...
Wajua nini chakusema. Bakia palepale guy. Miye nilikuambia Siku Ile uhame pale wajua nini kingetokea kama usingehama. Leo wamekuwekea mtego hapo kwako Kesho wakunase. Au wajuemo wapi uko.
Bakia humohumo. Mulemule mayi. Hutaki utekaji siye pia. Nye Nye Nye. Hiyo hutuba uliyoletewa usisome. Wape...
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.
1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General...
Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao
Je wanafanyaje?
Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha
Wanapokuwa katika Ibada...
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa ujenzi au uharibifu?
Je, maneno hayo ya mchungaji ni onyo au lawama? Alikuwa akionya juu ya nguvu...
Bila huu muungano mgongano tungekuwa na shetani kati yetu? Japo bado yupo njaa Kikwete, tusingekuwa na hii ghasia kusema ule ukweli. Tuvunjilie mbali huu uzwazwa tuone watakwenda wapi. Natamani komredi Mtikila angekuwa hai.
Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote,
Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili.
Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze...
Ili kuikomboa hii ardhi, Tanzania tunahitaji roho mbaya kama ya malaika waliochoka.
Na ndio sababu hata kanisa kuu limeona bora iwe mbwai.
Tunamuhitaji Shetani kuliko Mungu.
Haki huinua taifa
Embu ona kichekesho kama hiki
Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema "amejiteka", kwamba ana madeni...
Umri wote Hadi utu uzima kuelekea uzeeni hajawah kupata stress ya...
Katika nyakati ambazo dunia inapiga hatua kuelekea ustaarabu wa kweli wa kisiasa, bado wapo viongozi wanaogandamiza misingi ya haki, uhuru wa kiraia, na demokrasia. Katika mazingira haya, haiwezi kuwa kosa kumuita kiongozi wa namna hii "shetani wa dunia", ikiwa hataki kukemea utekaji wa raia...
Niaje waungwana
Wengi tunafaham kuwa shetan huwa hana undugu, urafiki wala ujamaa na binadamu. Shetan ndugu yake, rafiki yake na jamaa yake ni shetan mwenzake. Hivyo ukiingia makubaliano yoyote na shetani kwa njia ya kumfurahisha au kumkera ujue mwisho wako utakuwa mbaya sana.
Qatar ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.