shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Introver

    JamiiForums Tanzania Epuka muhuri wa shetani

    JE! UNAJUA JAMBO GANI LITAMPATA MTU YULE, ALIYESIKIA UKWELI HALAFU HATAKI KUBADILIKA? Biblia inaeleza wazi kabisa kulingana na maandiko hayo hapo juu, Mtumwa yule aliyetangaziwa uhuru wake baada ya kutumika miaka 6 akakataa (Yaani akaona ni vyema kuendelea katika utumwa wake.). Jambo linalotokea...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye atatatokea chama chochote lakini ana sifa hizi, tusimchague

    Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Njoo uone huyu jamaa anavyomzodoa shetani hadharani

    "We shetani, nakuambia bila kupepesa macho, na kila mtu asikie. Wewe ulikuwa malaika mbinguni; uliumbwa ukiwa mzuri na mwenye utukufu. Ukaanza kujiona bora zaidi ya Muumba wako. Ukadhani unaweza kukaa kwenye kiti cha Mungu. Ona kilichokupata. Ulitupwa chini kama takataka! Kiburi chako...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

    Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee

    Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama Umri...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

    Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi: “Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Lijue jambo hili ambalo shetani analificha, linalofanya nchi hizi 5 kuwa na viwango vya juu vya amani na furaha

    Kila mwaka, watu wanafuatilia World Happiness Report ili kujua ni nchi gani zipo kwenye "top ten" ya nchi zenye viwango vikubwa vya amani na furaha. Kinachoshangaza ni kwamba nchi tano za Skandinavia: Finland, Denmark, Iceland, Sweden na Norway, zimekuwa zikishika nafasi za juu mwaka baada ya...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Shetani punguza masharti. Hili sharti la kupandana watu wa jinsia moja linatumalizia vijana wetu

    Hello! Wanaume wanapopandana au wanawake wanapopandana wao kwa wao automatically ni kama wanajiengua kwenye idadi ya watu duniani. Kama kwenye familia au ukoo mko 50 na 5 wamekuwa mashoga na wasagaji hiyo familia inapaswa kuhesabika mko 45 tu. This calculation also can be applied in national and...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nini maana yake? Kuota unafanya mapenzi

    Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama ni sahihi Kila mtu anatafsiri yake ya ndoto Mfano redioni siku hizi hata station kubwa hapa bongo...
  10. excel

    JamiiForums Tanzania Ajali kazini: Shetani mwekundu amezidiwa nguvu na kudondoka

    Chombo cha mkuu wa anga Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅 Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa Hili dege wanaweza kupanda hadi watu 50😅😅😅
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na shetani nani hutoa uhai wa viumbe?

    Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu. Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
  13. Fortyseven

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha shetwan ( shetani ) ni nini katika uislam?

    Surat Al-Baqarah (2:34): "Na tulipowaambia Malaika: Mumsujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikataa na akajivuna, na alikuwa miongoni mwa makafiri." Pia inatajwa katika: Surat Al-A'raf (7:11–12) Surat Sad (38:71–74) Surat Al-Hijr (15: 28- 31) Surat Sad (38:71–72): "Mwenyezi...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

    NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU NDUGU YANGU KAKA PT BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK NDIO MAANA...
  16. nodetz

    JamiiForums Tanzania Je nikweli shetani ni kiumbe au roho yenye ubaya?

    Habari wana jf ANGALIZO. UZI HUU HAUUSIANI NA DINI KABISA. NI KWAAJILI YA WATU WANAOWEZA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI MAMBO. Kila mtu amewai kusikia, kuona au ata kuhisi uwepo wa nguvu ya shetani. Je nikweli kwamba shetani yupo na anafanya kazi au ni mindset zetu zimekaa ivo. Kila jamii iliyowai...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii????? Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au kikundi cha watu wowote unafuta uzi aisee nimeshangaa sana unajua hii nchi ni ya ajabu sana kwanini hadi...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia.

    Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022 (Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-...
Back
Top Bottom